kinole1984
Member
- Aug 4, 2017
- 65
- 50
Kiukweli naenjoy sana kuwa na mwanamke wa Single mother na amenipita mwaka 1 tuu.
Kwa mara ya kwanza niliteseka sana kuwa naye, kwatu walikuwa wakinicheka sana. Mara ooh mwanamke mkubwa, mara mwanamke gani huyo amezalishwa.
Nimejifunza mengi sana kwenye mapenzi, nilitamani kuwa na mwanamke ambaye hajapitia changamoto yoyote, lakini kabla yakufanya maamuzi nilifanya uchunguzi kwanza.
Na jibu nililopata nikwamba asilimia 78% ya wanawake waliopitia changamoto kubwa kwenye mapenzi ni wazuri kuwa nao kwenye maisha na kufanya nao maendeleo, kwani amekuwa amejifunza mengi.
96% ya wanawake wasiopitia changamoto za mapenzi kufanya nao maisha ni kazi ngumu sana, kwani akili yake ina mtazamo wa leo na si kesho.