Ukiona mchumba wako ana tabia hizi tambua ya kwamba ndoa yako itakuja kuwa ya shida

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Uchumba ni kivuli cha ndoa wana saikolojia mambo unayoyaona kipindi cha uchumba ukiingia kwenye ndoa utayakuta mengine makubwa zaidi ukiona mchumba wako Ana Tabia zifuatazo tambua ukioa au kuolewa ndoa yako itakuwa ni ya shida sana.

1. Ana Tabia kupendwa kusikilizwa yeye kuliko yeye tuu yaani mawazo yake anaona sawa yako sio sawa

2. Ukimwambia umekosea anaanza kukununia bila sababu ya msingi au anakukasirikia

3. Mkigombana kidogo anakimbilia kusema mara ohoo sijui tuachane

4. Anashidwa kuficha madhaifu yako yaani vitu ambavyo akusitiri yeye ndo anakwambia ndugu zako

5. Hakubali kama Amekosa pale anapoona amekosea

HAYA ENDELEAAA
 
Uchumba ni kivuli cha ndoa wana saikolojia mambo unayoyaona kipindi cha uchumba ukiingia kwenye ndoa utayakuta mengine makubwa zaidi ukiona mchumba wako Ana Tabia zifuatazo tambua ukioa au kuolewa ndoa yako itakuwa ni ya shida sana.

1.Ana Tabia kupendwa kusikilizwa yeye kuliko yeye tuu yaani mawazo yake anaona sawa yako sio sawa

2.ukimwambia umekosea anaanza kukununia bila sababu ya msingi au anakukasirikia

3.mkigombana kidogo anakimbilia kusema mara ohoo sijui tuachane

4.anashidwa kuficha madhaifu yako yaani vitu ambavyo akusitiri yeye ndo anakwambia ndugu zako

5.hakubali kama Amekosa pale anapoona amekosea

HAYA ENDELEAAA
7.Muongo sana
 
Mahusiano hayana formula bashwee
 
9. Wenye kuvaaga vile vibegi vidogo vya mgongoni.
Hebu acheni hizo.

In my normal outing nakibebaga sana tu, kama nimetoka mchana naenda home kuwasabahi nakibeba naweka vya kuweka pamoja na sweta maana huku nilipo hali ya hewa nayo mtihani ikifika jioni, kama ni sokoni naweka wallet ya hela na mifuko yangu ya kubebea vitu safi kabisa.....

Handbags nabeba ofisini tu.
 
ahsante kwa kutoa mfano hai, ndio ninyi ambao waume zenu watapata tabu sana (joke)
 
Uchumba ni kivuli cha ndoa wana saikolojia mambo unayoyaona kipindi cha uchumba ukiingia kwenye ndoa utayakuta mengine makubwa zaidi ukiona mchumba wako Ana Tabia zifuatazo tambua ukioa au kuolewa ndoa yako itakuwa ni ya shida sana.

1.Ana Tabia kupendwa kusikilizwa yeye kuliko yeye tuu yaani mawazo yake anaona sawa yako sio sawa

2.ukimwambia umekosea anaanza kukununia bila sababu ya msingi au anakukasirikia

3.mkigombana kidogo anakimbilia kusema mara ohoo sijui tuachane

4.anashidwa kuficha madhaifu yako yaani vitu ambavyo akusitiri yeye ndo anakwambia ndugu zako

5.hakubali kama Amekosa pale anapoona amekosea

HAYA ENDELEAAA
Haya cku zote mbona yana elewekaga
 
Back
Top Bottom