Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Itifaki imezingatiwa, Nisiwachoshe, niende moja kwa moja kwenye mada. Rafiki yangu wa karibu amekua mzito wa kuoa kwa madai kwamba alishajiwekea dhamira ya kuoa bikra, huu ni mwaka wa 5 bado...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari za leo. Awali niliwahi kuandika uzi kuelezea dalili zinazojitokeza ili kujua kama unatumika kwenye uhusiano. Baada ya kukaa na kuangalia uhusiano ulionao, na kuona zile dalili unaweza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa? Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu...
3 Reactions
120 Replies
19K Views
Nataka kujua ukweli kuhusu introverts
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Huyu binti kamaliza kidato cha sita mwaka jana. Now yupo chuo flani hapa DSM. Napata naye usumbufu ambao binafsi huwa siupendi. Tumekuwa tukikutana na kutomasana tomasana tu hanipi K.anadai yeye...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Hakuna kitu kinarudisha nyuma kama umeamua kumuacha mwanamke au demu wako lakini yeye anakung'ang'ania, niwakumbushe tu Mwanaume akishasema tuachane jua amekutoa moyoni mwake haupo tena, hivyo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Kila kukichwa ninavyozidi kuwaona mademu wakali na wa kumelemeta ndivyo spirit yangu ya kutafuta pesa inavyoongezeka licha ya kuwachakata daily lakini bado ninauitaji wa kutafuta pesa kila siku...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wakuu, Leo nimepata aibu ya mwaka baharia,,baada ya mwanamke nisiyemfahamu kunifananisha na mwanaume aliyemgegeda usiku kucha na kumkimbia bila kumlipia. Nipo maeneo fulani ,,nikitafakari...
7 Reactions
133 Replies
10K Views
Kwanza nitangulize pongezi shukrani kwa wanawake wote waliokubali kujitolea nafsi zao kufanya kazi hii maana kwa kwa kifupi wanatusaidia sana sie madomo nzege Ijulikane kua seheme yeyote ile ata...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Hivi ukiacha hela hakuna ambacho mwanaume anaweza kukitumia kuiteka akili ya mwanaume katika dunia ya leo na Vilevile ukiacha sex hakuna anachoweza kukitumia mwanamke kuiteka akili ya mwanaume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika wanaume ambao wanajiamini sana duniani juu ya uaminifu wa wake zao Mimi ni mmoja wapo. Naamini mke wangu hajawahi kunichit hata siku moja na hizi ni sababu zangu. 1. Nimempeleleza kwa...
21 Reactions
155 Replies
11K Views
Habari wakuu. Ushawahi kuanzisha mahusiano kupitia mtandao wa kijamii na Yalidumu. Mimi yapo kama mawili ya Kwanza nilianzisha na mwanamke ambaye nilikutana nae facebook tulianza charting za...
6 Reactions
187 Replies
20K Views
Halaaaa! Yaani kuna siku ilibaki kiduchu tu nibakwe na demu iko bv uyu dada tulikuwa na mahusiano lkn siku zote tukiwa faragha aliniachia uwanja mm ndio niumiliki yaan tukiwa room aliniachia mm...
4 Reactions
65 Replies
9K Views
1. Anakujali, anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na...
10 Reactions
18 Replies
6K Views
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
15 Reactions
76 Replies
12K Views
Naitwa smart introvert, nakuja mbele zenu kutafuta rafiki wa kike ambae tutabadilishana mawazo na kujenga urafiki mzuri. Umri wangu miaka 28 na nafanya kazi kampuni moja. Naishi Dar na ni mkristo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini katika jukwaa hili nazungumzia kasoro moja ambayo ina athari katika ndoa. Ilani ya CHADEMA inakusudia kuweka...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…