Nishakuwa na mke wa mtu alikuwa ni nesi katika hospital flani. Bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu anapika anapakua analiwa kesho yake asubuhi anarudi...
Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya...
Nimejaribu kuangalia jamiii hizi mbili za wanyanwezi wa Tabora na wasukuma toka Shinyanga na Kanda ya ziwa.
Kiukweli hadi sasa nimeshidwa kuwatofautisha kati ya wasukuma na wanyamwezi japo mila...
Habari za usiku huu watoto, vijana na wavyele pia.
Sitaki kuelezea hadhi na jinsia ya Mwanamke, bali natafuta ithibati na uhakika wa kauli hii: "Kila Mke ni Mwanamke lakini si kila Mwanamke ni...
Jana nlienda mtembelea jamaa yangu alikuwa na issue ya kumtandika kisawasawa mke wake. Nlishangaa sababu jamaa alikuwa kiukweli ni mpole sana.
Mara nyingi ukienda home kwake yeye ndo utamwona...
Leo nina zawadi mbili (Moja ni hii na ya pili itafata) kutoka kiumeni kwenda kwa wake zetu vipenzi, kwenda kwa dada zetu, kwenda kwa mama zetu kwenda kwa walezi wetu wa kike. Leo nawasemea...
Habari wakuu,
Hongereni na majukumu ya kila siku. Kwa mara ya kwanza naomba ushauri humu.
Miaka ya nyuma nilitendwa sana sana kimapenzi, nilikuwa naumia sana, baada ikafika sijui nini...
Wakuu hivi karibuni ninajishangaa kwakweli hata sijitambui
Nimekua ni mtu wa kupambana na shauku ya kupata kitu lakini nikishapata huwa napuuza. Hapa nazungumzia mapenzi
Kuna pisi moja kali...
Wazee kwema,
Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.
Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na...
Ni kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa...
Moja kwa moja nikienda kwenye mada kama ilivyo andikwa hapo juu,
Ni kwa Muda wa miaka 21 sasa naishi na wazazi wangu wote wawili, ambao walifunga ndoa tangu mwaka 1999, kwa kipindi chote hiki...
Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani.
Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji...
Jana nilikua nimekaa na demu flani tupo tumechili maeneo flani tunapiga stori za hapa na pale. Baada ya maongezi demu akaniambia tuanze kuangaliana tukaanza kuangaliana machoni zaidi ya dk 1...
Huu ni mmoja kati ya mtihani mgumu sana kwa mwanaume pale unapoingia katika mahusiano na binti aliyekuzidi kimaendeleo kipato au
Unapokuwa na mchumba au mke ghafla amekuzidi kimaendeleo na yupo...
Kwa mfano Yona yule aliyemezwa na Samaki na kukaa tumboni mwake siku tatu angekuwa mumeo ungemuamini??
Kwamba kapotea nyumbani kwa siku tatu simu zinaita tu na hazipokelewi,
Sms za kawaida...
Sisi wananchi tumekaa kimya tukiangalia watoto wetu wakifanyiwa vitendo vya kidhalimu na unyanyasaji mitaani na vijiji katika mamlaka zote za serikali za mitaa. Tumekaa tu na kukubali aina hizi za...
1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.
4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda...
Tangu nimeachwa na mpenzi wangu nimekuwa nikipitia wakati mgumu kidogo kila nikifikiria sababu zilizimfanya mpenzi wangu kuniacha ambaye tuliwekeana malengo.
Ukweli ni kwamba huyu mdada bado...
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa...
Mimi ni mwanamke na nimeolewa miaka 10 iliopita na nimebatika kupata watoto watatu. Kwa sasa nina miaka 33. Kilichonileta hapa kuomba msaada mme wangu alipata kazi ulaya kwa mkataba wa 5 years...