Hivi mwanamke akikuambia mfanye hivi ina maana gani?

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,231
2,000
Jana nilikua nimekaa na demu flani tupo tumechili maeneo flani tunapiga stori za hapa na pale. Baada ya maongezi demu akaniambia tuanze kuangaliana tukaanza kuangaliana machoni zaidi ya dk 1, baadaye akaniambia basi inatosha.

Nilipomuuliza hii inamaana gani akanijibu kuna kitu nilitaka niangalie, ingawa hakusema ni kitu gani.

Sasa naomba kuuliza hii kitu ina maana gani?
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,988
2,000
Watoto mliozaliwa kipindi cha mkapa cha awamu ya pili mnashida sana. Kwanini mnaanza mahusiano wakati bado watoto?

Yaani mpaka hapo mwanamke ameshakuzidi kila kitu. Unaweza kwenda naye kitandani akakubania mapaja na ww ukaweka kwenye mapaja na ukajua umeshaingizia kumbe iko kwenye mapaja na baada ya siku wiki anakwambia umeshampa mimba anataka lakimoja ya kutolea mimba na ww kwa akili yako unatoa huku unajisifia kuwa ww ni kidume kumbe umeingizwa malkiti.
 
Hamna alichonizidi ndugu nilichokuwa nafanya ni kumwachia ahisi kwamba she is controlling the pitch ndio maana nilimkubalia ingawa sikujua kwamba alikua anamaana gani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom