Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea 25 Nina kipato changu kizuri naitaji kuoa Huku Jamii Forum Kuna wasomi na watu makini Je, ni vitu gani vya kuzingatia kwa mwanamke wakatiwa...
6 Reactions
39 Replies
714 Views
Nikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu. Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato. Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na...
72 Reactions
132 Replies
7K Views
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
7 Reactions
276 Replies
42K Views
Wakuu, ni umri gani sahihi wa kuoa? Uzi tayari.
3 Reactions
15 Replies
341 Views
Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili...
22 Reactions
39 Replies
1K Views
Mimi ni mkristo umri miaka 30 natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke wangu ila ajipime huko kwanza na awe tayari kuja kupima na mimi. Awe anajua kusoma na kuandika, mtoto moja...
0 Reactions
7 Replies
377 Views
Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Salaam. Bila kuwachosha Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake Swali linakuja...
2 Reactions
3 Replies
242 Views
Wakuu kheri....ilaaniwe CCM na watu wake wote ndiyo adui namba 1 wa taifa hili na raia wake. Kwanza kama unaishi na mwanamke na mnaona kbs hampgi hatua, magomvi hayaishi kila sku ni afadhari ya...
7 Reactions
25 Replies
868 Views
Ubinadamu haupo kwa kila mtu kuna wengine kimaumbile ni watu lakini ndani ni wanyama wakatili sana pengine zaidi hata ya hao wanyama mwitu. Ukilitambua hilo utakuwa makini sana kwa sababu furaha...
7 Reactions
6 Replies
265 Views
Nipo safarini Dar nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni, Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili Mmwanamke kavua zote kasoro chupi anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa...
21 Reactions
309 Replies
77K Views
Hi people, Heri ya mwaka mpya Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na...
18 Reactions
188 Replies
3K Views
Maisha ya Lumumba yamebadilika huku ikisemwa mkewe wa zamani anataka warudiane. Waziri wa michezo wa nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia Kongo, Didier Budimbu Ntubuanga amemtembelea shabiki wa...
3 Reactions
4 Replies
278 Views
Huyu dada kaleta tamaa sana leo, tulishaelewana kua akifika kwenye bustani yangu atacheza kwenye mti/shina tuu lakini hatagusa mengine. Dada huyu wa kienyeji anaesomea course ya sekretari ameleta...
4 Reactions
12 Replies
565 Views
1. Je,unamkumbuka mwanamke/mwanaume ambaye bado unatamani urudie mechi? 2. Kwa nini unataka kurudia mechi nae ? 3. Unakipi cha kumwambia? Kwa upande wangu namkumbuka mke wangu niliyelala nae...
0 Reactions
9 Replies
248 Views
Je ukuwadi ni halali Je ukuwadi ni dhambi Je makuwadi ni akina nani Je malipo ya ukuwadi yana baraka? Tujadili
5 Reactions
11 Replies
252 Views
Habari wanajamvi? Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja) Nasema hivi kwasababu gani? -Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au...
21 Reactions
548 Replies
97K Views
Wakuu, jumanne ya wiki hii nilifanikiwa kumpeleka gheto demu niliyemsotea kwa muda mrefu,lakini baada ya kufika gheto,tuliongea sana,baadae nikamwomba tunda akasema hayuko sawa, nikamuacha akasema...
5 Reactions
17 Replies
485 Views
Nilikuwa nasikia tu mambo ya mabinti wa Tanga wanavyojua kubembeleza wanaume sasa ndio nmeamin maana hivo visanga ninavyopewa na huyu binti nimebaki kucheka cheka tu mpaka nimehamia kwake kutoka...
5 Reactions
78 Replies
21K Views
Back
Top Bottom