Habari za muda huu wanachama wenzangu wa Jamiiforums.
Mimi kuna jambo huwa linanitatiza SANA. Huwa linanitatiza kiasi cha kunipa maswali mengi sana kichwani. Na leo naomba niwaulize dada zangu wa...
Kuna mtihani umenijia nashindwa kuutatua.
Nimepata mashtaka toka kwa mke wa rafiki yangu. Ni kwamba jamaa amezaa na mwanamke mwingine nje ya ndoa. Na huko inaelekea ametekwa haswaa... Maana hata...
Picha linaanza ilikua mwaka 2018
Huyu binti ambaye napenda humu nimuite LO kwa usalama zaidi nisitumie jina lake OG.
Alikuja maeneo nayo ishi, akiwa anafanya kazi ya kuhudumia bar fulani hapa...
Habari wakuu,
Je, ni sahihi kufanya MAENDELEO ya kiuchumi na mpenzi wako ambaye hajulikani nyumbani wala hajawahi kufika nyumbani kwao, hutambuliki, bali tu kwa marafiki baadhi?
Haijalishi...
Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali...
Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya...
Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida.
Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae...
Tunaishi katika kizazi cha mbwembwe, yaani mtoto anayejua kuongea Kiingereza vyema ni bora sana hata kama hajui kupika, kufua nguo, kuosha vyombo, hana adabu wala heshima. Tumewekeza kwenye...
Utafiti unaonesha asilimia 95 ya wanaume wanafanya mastutbation,. 89% wanawake wanafanya masturbation.Pia asilimia 70 ya wanandoa wanafanya Masturbation. Pia wanawake 4 kati ya 10 wanapendelea...
Jaman tuliopanga nyumba za watu mjini tunajua heka heka za kodi ukizingatia kipindi hichi cha Corona biashara ni ngumu ajabu.
Nilikuwa natakiwa kumlipa father house wangu kodi yake tokea tarehe...
Habari wana JF.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye...
Published 9 hours ago - 4017 views
Lethabo Molotsi is a strong South African woman from the tribe of Sotho recently she has been the talk of the town as she shows off incredible physical fitness...
Natumai hamjambo wakuu,
Kupitia wrong number watu wengi wamefanikiwa kuanzisha mahusiano. Katika mahusiano hayo wapo waloishia kuwasiliana pekee, wengine waliishia kuonana, pia wengine walidate...
Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano.
Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari...
Isitafsiriwe kama nimekata tamaa, hapana ila hili swali huwa najiuliza sana. Msije fikiria natafuta sababu ya kujiua hapana sio hivyo
Lengo la hilo swali ni kujua kila mmoja kiupande wake nini...
Jamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili...
MOYO wenye AMANI na unaompenda MWENYEZIMUNGU hauna uadui ndani mwake na Wala hauna uadui na wengine.moyo wa kujitoa hautapeliwi kwa sababu uko MAKINI.Moyo unaoweza kujua ya kweli na ya UHAKIKA...
Hii dunia haiko fair..!
Kuna wanaoamini mke wa mtu sumu, hapo hapo kuna imani kuwa wake za watu ni ‘rahisi’ kuwapata, hawana longolongo.
Na hizo kauli zote ni za wanaume, lakini inapotokea...
Kuna mahali nimeenda kufanya internship.
Wanawake wa pale ni watu waxima na wana usafiri zao waume zao wana hela ila nashangaa sana wananitaka mimi na ni mdgo mwingine anataka aache kazi atoroke...
Kama kichwa kinavyozungumza ndugu zangu naomba msaada wenu katika hili suala ni wakati gani hasa binti anavalishwa Pete ya uchumba?Na inabidi akae nayo mda gani kabla ya ndoa?
Ushauri wako muhimu
Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha.
Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat...