Wewe unataka nini? Kutoroka nao au kujua wanachokitaka?
Halafu nyie watoto mnaoandikaga waxima badala ya wazima huwa naona hamna umakini kwenye jambo lolote.
Hadi umefikia umri wa kufanya internship hao ni mama zako, ikimbie zinaa mwanangu.
Wazazi wanategemea uje uwe baba bora sio marioo. Serikali nayo inategemea uje ulipe kodi na kufanya marejesho ya mkopo wako kule loanboard
Wewe ukifika nyumbani wablock wote asubuhi unblockNimeikataa na ninamekataa kabisa sema wanapiga simu hao had usiku na unakuta analalamika ninamtesa[emoji15][emoji15][emoji15]
Usiku unaongea na mke wa mtu? Jichunge mwanangu usije tafutwa na wenye mali ukawajibishwa ukaja kujutaNimeikataa na ninamekataa kabisa sema wanapiga simu hao had usiku na unakuta analalamika ninamtesa[emoji15][emoji15][emoji15]
Siku hzi nasikia wanapaka blueband wakikufuma afu ndio unainamishwa...Usiku unaongea na mke wa mtu? Jichunge mwanangu usije tafutwa na wenye mali ukawajibishwa ukaja kujuta
[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hzi nasikia wanapaka blueband wakikufuma afu ndio unainamishwa...
Dogo kaa mbali
mama D naomba uje PM tuzungumze kidogo, nina jambo nataka nikuambie.Usiku unaongea na mke wa mtu? Jichunge mwanangu usije tafutwa na wenye mali ukawajibishwa ukaja kujuta
Mimi nikiona msg ina x badala ya s au z nadelete sisomi kamwe, najua ni wale madogo wasiojua loloteWewe unataka nini? Kutoroka nao au kujua wanachokitaka?