maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,855
Isitafsiriwe kama nimekata tamaa, hapana ila hili swali huwa najiuliza sana. Msije fikiria natafuta sababu ya kujiua hapana sio hivyo
Lengo la hilo swali ni kujua kila mmoja kiupande wake nini kinampa hamasa ya kuendelea kuishi. Yaani endapo ukifa kitu gani utakimiss sana
Usiku mwema kwa wale ambao mpaka sasa hawajapata message ya kuwishiwa good night, mlale unono
Another day another struggle ya BIG ikawaburudishe