Sio kwamba wanawake wa sasa hawapendi kuanza na mwanaume from zero to hero.
Sio kweli kwamba wanawake wote wanataka kuwa na wanaume ambao tayari wameshafanikiwa. Wengi wanatamani kuanza na...
Wakuu habari za time hiii.
Nina kipengele kimoja kigumu sana, Je ulishawahi kuishi na mwanamke mjuaji? Kama ulishawahi ulitumia njia gani kuminimize kama so kumaliza kabisa tatizo.
Asanteni
Katika harakati zangu kabla sijaoa nmekutana na majanga ya kimahusiano mengi sana. Moja wapo ni kufahamiana na wanawake Vilaza, Wenye Njaa au Tabia za kiswahili.
Mi napenda kusema ili...
Wakuu habari za muda huu, kheri kwenu nyote, wenye changamoto, yatakwisha. Sema Amina
Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, nilitamkiwa hayo maneno na jamaa ambaye alikuwa shemeji yake na demu wangu...
Uzi huu ni mahususi kwa wapendanao, Marafiki, na watu mbalimbali waliokwaruzana kwa namna moja au nyingine, kuombana msamaha, na kuwiana radhi.
Kumbuka jambo la kukoseana au kukwaruzana ni la...
Kuoa mke mzuri na msomi ni sawa na kujiweka karibu na mafuta ya petroli huku ukivuta sigara. Utashangaa anapanda vyeo kwa kasi,safari zinakuwa nyingi.....huku mumewe akiachiwa kazi ya kulea...
Imekuwa ni kawaida sana mwanamke mwenye makalio makubwa akatizapo watu kumuangalia mara saba saba,kuna nini huko kwenye hayo makalio mpaka watu wamuangalie kwa hamu.
Kila napotafuta binti mwenye msimamo na tabia njema huwa naishia kumkinai mapema na uhusiano kuyumba mwishoni hufa kwa sababu zisizoelezeka.
Na mara nyingi mabinti naowaacha baada ya muda mfupi...
Wadau kuna mdada nadate naye ni kichefuchefu sana. Haya mambo yananipa ukakasi sana wa kusonga naye mbele.
1. Hana romantic language yaani huyu dada ana maneno magumu sijapata ona siku anakuja...
Habari wakuu
kwd wale waliofika ukweni kwenda kujitambulisha kwa mara ya kwanza tupeni Mbinu, mikakati, jinsi ya kujibu maswali, kujitambulisha, mavazi, mambo ya kufanya na kutokufanya, nk...
Welcome to redpill society.
Ufafanuzi
BETA MALE
Kwanza Beta ni neno la kilatin lenye maana ya badae au ni kitu kinachofuata baada ya ile iliyo imara kwa maana nyingine beta ni " dhaifu"
Beta...
Iwapo unasafiri na mtoto mdogo mwenye umri chini ya kwenda shule. Uwapo katika daladala na mtoto umri huu hapaswi kulipiwa nauli. Mara nyingi husimama kati ya miguu yako ama pengine unampakata...
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE
___________________________________
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha...
Habari wakuu
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja hivi. Huyu binti kiukweli anaonekana ni mstaarabu na mpole. Nipo naye kwenye mahusiano kwa muda wa kama miezi minne hivi. Huyu binti kiukweli si...
A friend of mine back in Middle School told me and a few other companions that he believes that "50-75% of people wish they had the genitalia of the opposite sex" and we didn't believe him at all...
Wana JF tangu nimeachana mpenzi wangu nimejikuta napitia mateso makali sana kuliko yale niliopitia tukiwa kwenye mgogoro mahusiano zaidi kwanii
1. Imefika hatua nakula kwa shida
2. Nalala kwa...
Nimeoa na nina watoto watatu.
Mimi na mke wangu tu madaktari Muhimbili.
Siku za karibuni xgirlfriend wangu (aliniacha tukiwa mwaka wa tatu Muhimbili na kwenda kuolewa na pedeshee) amekuwa karibu...