Jamani uchawi upo: Kama ndio hivi nitafanikiwa lini kuoa?

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
539
1,000
Kila napotafuta binti mwenye msimamo na tabia njema huwa naishia kumkinai mapema na uhusiano kuyumba mwishoni hufa kwa sababu zisizoelezeka.

Na mara nyingi mabinti naowaacha baada ya muda mfupi wanaolewa na mimi hubaki kuwa kama msafisha nyota tuu. Sasa umri umesogea na nina uwezo wa kuhudumia familia, siku zinavyozidi kwenda nakosa hamu ya kuoa tena, najikuta naruka na watu walewale ambao najua kulingana na tabia zao hawana sifa za kuolewa.

Sasa nitaishi hivi mpaka lini? Naona mawazo yangu yanasaliti mipango yangu.
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
134,425
2,000
Na huko kwenye himaya yako ya Ntuzu ndiyo kabisaa mnaamini uchawi mpaka inakera yaani. Bagosha!

Halafu kwani kuoa ni lazima ng'wanangwa?
 

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
979
1,000
Tafuta malaya funga nae ndoa, nyota zenu zitamatch sana alafu hutomchoka haraka. Trust me kama huamini jaribu hata kumchumbia.
 

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
586
500
Daah pole sana, cha msingi ni kujilipua tu kuishi na mtt wa watu kivietnam zaid mgu pande mgu sawa atanyooka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom