Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakutana na kijana mdogo kabisa (20_23) unaweza hata kumzaa umemzidi miaka kumi na ushee,ila anadai anakupenda anataka uwe mpenzi wake na yupo serious kabisa Ni nini kinasababisha hali hyo? Ni...
7 Reactions
143 Replies
20K Views
Wasalaam wanajukwaa hili pendwa. Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani...
6 Reactions
316 Replies
26K Views
Wadau MMU kwema! Eti naomba kuuliza, lakini kabla ya swali nimzungumzie huyu rafiki yangu maana ndo kasababisha nimekuja kuhoji ili kama anakosea nimwambie au kama ni sahihi pia aweze kuendelea...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Na wanaume pia mnaeza shusha mambo yenu hapo labda mmewahi kutana na mambo kama hayo?
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mahusiano yoyote yapo stage 3 1/Urafiki_ mwanaume yoyote ili awe karibu na mwanamke huvutiwa na muonekano wake Muonekano hupelekea kuvutiwa na aina fulani ya wanaume Kila aina ya muonekano ya...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
.
2 Reactions
243 Replies
18K Views
Habari zenu wana-MMU. Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa. Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto...
10 Reactions
191 Replies
12K Views
Habari Kuna mdada kaja kuomba ushauri nami nikaona sio mbaya nikawashirikisha na nyie.iko hivi huyu manzi alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja hivi sasa baadae huyo jamaa akamtosa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu watu wa humu. Leo nikasema niulize swali, huenda tukajua na kupata hekima ya jambo hili. Swali liko wazi na jambo hili huwa tunaliona sana. Kwanini hali huwa iko hivi? Karibuni...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
1- Anakua anamuamin sana 2-Anakua na subira juu yake, mf Km ni bikra hata mlazima ku sex tho anaweza kua anatembea na wengine ili asimsumbue yule wa malengo. 3- Baadh shida na matatizo ya mwanake...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Hizi lawama za wanaume wa siku hizi ni dhaifu zimezidi sana mitaani.lakini wanawake nao wanashindwa kuelewa kuwa wana mchango mkubwa sana katika jambo hili. Miaka ya nyuma mazingira ya kumpata...
12 Reactions
38 Replies
7K Views
Namnukuu..." Cheating on your Wife doesn't mean that you don't love her but it is like hiring a Taxi while you have your own Car at home. It saves tyres and reduce mileage ". Kwa tafsiri iliyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
miaka ya nyuma mapenzi yalikuwa na raha yake.. ilikuwa ili upate mtoto /binti mzuri (miaka hiyo hatuiti demu) unatakiwa uwe na udambwi dambwi mwingi wa maneno. uwe na maneno kama asali kwa huku...
14 Reactions
67 Replies
8K Views
Tulikuwa na mjadala hapa kuhusu "KWANINI MANDELA HAKUMSAMEHE WINNIE MPAKA KUFA?".Tulijadilana mambo mengi sana.Lakini Malema amekata mzizi wa fitna,katika tukio katika siku hizi za...
10 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari za weekend wana familia,poleni na majukum ya kila siku.Aise nilipata nafasi kadogo nikaamua niende zanzibar (Unguja) nikaone na mimi lilivyo ,nilikuwa naisoma tu na kusherekea Muungano bila...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo Unakuta ni kijana...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Niko saluni hapa nimemleta dogo kufanya manicure na pedicure Kuna dogo hapa same age with my kid almost 3 years Yuko mkorofi balaa, wakati tunajiuliza huyo mtoto vipi kaja baba yake kumchukua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Niko kwenye Abood kuelekea Moro saa hii, siti ya pembeni kuna Dada a naongea na bwana ake ( kwa simu) anamwambia bwana ake kuwa yupo Bagamoyo daaah hahahahaaa. Ewe baharia kama ulikua unaongea na...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…