Wakuu
Tutoe.stress za madeni hapa
Je unaweza mwambia mwenzio,
Akupe style flan, kwa sababu ndo una enyoy??
Au wewe ili mradi tu.
Umepewa mbususu.
Ila chuma mboga ni...
Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana
1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake...
Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto,
Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke...
Shikamoon wakubwa zangu wote
Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.
Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu...
Mapenzi ya siku hizi yanafurahisha kama hujawahi kuwa muhanga wa michezo. Uko zako Insta au Facebook ama TikTok unavinjari zako tu, ghafla unaona demu ka like comment au post yako na kaku follow...
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na...
Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao.
Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea...
Inasikitisha.
Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao.
Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza...
LEO TUTOKE KWENYE NDUMBA NA VIMBOLA, NGOJA TUPIGE STORY WAKATI NIPO YANKII.
Nyieeh ππππ yaani nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana.
Basi nakumbuka ilikuwa mwaka...
Mtaalamu wa Saikolojia, Dkt. Leonard Mgina, amesema Wanaume wengi hufariki dunia mapema kutokana na kubeba majukumu mengi ya kifamilia, huku wakiachwa kuyasimamia peke yao hali ambayo ameleza kuwa...
Shikamoni wote humu natumai mu wazima wa afya. Kama hujaoa na una mchumba mwenye sifa hizi weka ndani
1.Mwenye heshima na adabu β Heshima ndiyo inabeba maana halisi ya wife material. Siyo yule...
MWANAUME KAMA UMEOA MWANAMKE AMBAYE SIO BIKRA, JUA UMEOA MTU ALIYETOA MIMBA 2 MPAKA 5+! KUBALI AU KATAA
Wakuu, sitaki kupoteza muda kuweka tafsida wala kupamba maneno hapa. Hapa ni kupiga spana...
Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu...
Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali...
Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa?
.
Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile.
.
TUKIO...
Mu hali gani wakuu...
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kuibaiba miaka kadhaa nyuma ambae muda huohuo alikuwa ni shemeji pia sababu ya urafiki wake na mwanamke wangu wa...