Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,915
- 3,748
Kuna elimu nlkuwa nataka kwenu il njpange na maisha.Ila nliigiza kama mzee ndio niipate mawaidha
Ambachonmegundua,mabachela, hawapendwi.kiuhalisia familia n bora,polen kwa nliyo wa udhi.mm nmezoea utan,ila asanten kwa ushaur
Ila mimi npo hapa chuo kikuu DSM nasomea sheria,ila nna girlfriend, ila nyie mnanipa raha kwel ila mapenzi yaendelee.