Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa miaka ya karibuni Talaka zimekua nyingi sana ? Umri wangu Nipo in early 30's na nmekua kwenye relationships kadhaa ambazo hazikuweza ku mature kuja kwenda ndoa lakini pia nmeona watu wangu wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Maisha bhana, ukiwa mdogo raha sana kwa sababu unakuwa unaletewa kila kitu, ila ukiwa mkubwa sasa inabidi wewe utafute ndio uwaletee watoto na kujikimu mwenyewe. Inafikia kipindi mambo yote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tulikuwa wapenzi miaka kadhaa nyuma. Tukaachana kwa amani. Majuzi tukakutana ghafla tena, Yeye akiwa Kaolewa na Vitoto viwili vizuuriii pacha. Kiukweli kapendeza hadi Udenda unanichuruzika.Ila...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakika wahenga hawakufanya makosa enzi zao katika kutafuta vigezo kabla ya kuoa hii ikiwemo kuchunguza kwa undani familia ya mtu unaetaka kumuoa, hadhi ya familia, nk Back to my point hivi sasa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Dear Colleagues, I am looking for any 'matured Woman' who is single and interested to get a man for A SERIOUS RELATIONSHIP. CONDITIONS : 1. Should be single without a kid , or Single mother. 2...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Bila shaka jambo lolote haliwezi tokea bila kuwepo kwa dalili. Katika mahusiano ni dalili zipi zinaweza ashiria kuvunjika kwa mahusiano? 1) Ukianza kujihisi upo pekee (alone) wakati una mpenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ndugu Wana jamvi, ni kwa miaka nimekuwa nikisikia sifa kem kem kuwahusu Mabinti wa Kitanga hasa kuhusiana na uzuri wao wa sura na maumbo na Mambo ya "kwichikwichi'. Wiki kadhaa zilizopita...
8 Reactions
98 Replies
12K Views
Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au? Ushauri na mapendekezo
1 Reactions
97 Replies
11K Views
Kwa wale ambao wameingia kwenye mahusiano hasa ya mke na mume au ya mapenzi inapendekezwa mkiishaingia rasimi inakupasa kublokiana ili msiwe mnachunguliana leo umepost nini,status,na umekoment...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Closed
Mambo zenu, Nina boyfriend wangu, my hub ninampenda sana, sasa alinishawishi aniingilie kimapenzi upande wa pili (nyuma) kwa watu wazima hapa mshaelewa namaanisha nini. Japo na mimi pia nataka...
15 Reactions
264 Replies
54K Views
Eid Mubarak... Hii iwafikie vijana wote hasa ambao bado hawako stable kimaisha ila wanaendekeza shobo kwa watoto wa kike, huu ni ujinga. Unakuta dogo hata hela ya vocha hujitafutii wewe ila 24/7...
19 Reactions
67 Replies
13K Views
Kutokana na mafundisho ya dini yangu kwa muda mrefu nilijilazimisha kuamini kwamba kuwa na mke mmoja tu ndo kanuni ya maisha na mpango wa Mungu. Badae nikafahamu hata vitabu rejea kwa mafundisho...
0 Reactions
219 Replies
19K Views
Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake... Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu...
20 Reactions
273 Replies
28K Views
Mapenzi haya ndugu zangu. Unaweza ukawa na mtu kumbe anakutumua tu. Ukawa na mwanamke anakutumia tu akuchume pesa zako au akutumie tu kama kivuli cha kufikia malengo yake. Hivyo hivyo kwa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako...
12 Reactions
28 Replies
7K Views
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali...
37 Reactions
95 Replies
10K Views
Hi guys... hope mko POA! Iko hiv kuna girl mmoja we are in love now! Yaan mapenzi moto-moto hadi shetani anaona wivu.. Tumepanga mipango mingi Sana kwa ajili ya future yetu.. Tuishi pamoja yaan...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…