Namtegemea Mtoto Nathaniel bila kujulia ukweli

Namtegemea Mtoto Nathaniel bila kujulia ukweli

kahara

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
94
Reaction score
93
Habari wa najamvi
Kisa kina hanza hivi Kuna bi dsda mmoja nilimpenda akanisumbua Sana baadae akaregeza kamba weyewe akaniomba nimtumie nauli baada ya Mimi kuamishwa kikazi mikoani .
Muamala wa simbanking Nilmtimia tarehe 18 nov2020akanza safari tarehe 19Akalala njia akafika tarehe 20usiku wa 21ndo nikakutana nae tarehe 23 akaniambia anajisikia tofauti na ndo siku alitegemea kurudi alipotoka lakini nikamchelewesha mpaka tarehe 30 Nov
Baada ya kufika hakaniambia haoni ck zake halitakkiw kuingia 6/12/2020
Akaanza klinik wakamwambi matazamio ya Mtoto 28/8/2021
Sasa wataalamu naomba msaada kujua huyu nataheli Ni damu yngu kwel ama nimebimbikiwa mimba
Nimejaribu kuesabu mwenyew kwenye app ya pregnant calendar niangia Chaka kabisa matazamio yangu Mimi Ni 2ama tatu September
Chonde chonde naomba msaada maana bidada tumezinguana anasema atalea mwenyewe
 
Utafikiri hiyo wiki Moja uliyomkatalia mlikuwa mnakesha na maombi🙄🙄

Ndo sim banking imezaa matunda hiyo hongera Baba Nathaniel.
 
Mwanzo tulikua tunaelewana vizur mpaka akanitajia najina analotaja kumpa Mtoto
Kwa hiyo shida ni jina?

Labda wewe ulimchagulia jina halijulikani ni la mzizi wa mti ama mzimu.

Chagua lingine Baba Nathaniel. Muda bado upo.
 
Pole Sana.
Mimi yamenikuta.ila nashukuru mungu.
Hakuwa na mimba .alikuwa ananidanganya.
 
Back
Top Bottom