Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu! Tujilazimishe tu kusamehe na kuachilia. Sio kitu rahisi, lakini faida zake ni kwa maslahi ya kesho yako. Kwenye mapenzi unakutana na mtu ambaye humjui, unajifariji eti utamfahamu...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Salaam Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila. Kwa sasa inafanywa na wasichana...
13 Reactions
275 Replies
80K Views
Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke...
9 Reactions
22 Replies
5K Views
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo...
12 Reactions
37 Replies
5K Views
Mambo vp jamiiforums. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza...
14 Reactions
286 Replies
27K Views
Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za jioni wapendwa. Mimi ni mtumishi wa afya katika moja ya hospitali zilizoko jiji la Makalla. Mwanzoni mwa wiki iliyoisha alikuja mrimbwende mmoja kumuuguza rafiki yake aliyekua kalazwa...
7 Reactions
96 Replies
11K Views
Hello bosses, Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu. Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?, Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k...
7 Reactions
88 Replies
7K Views
Habari wadau. Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia. Hivi kwa...
31 Reactions
99 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya tabia za binadam wenzako ukitaka ziwe tofauti kama unavyotaka haiwezekani! Huwezi kuwalaum wanawake ote kwa maneno yoyote Yale! Ukiona jinsia flani au kundi flani linatabia za...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuwa katika uhusiano wa kimapenzi bila kusudi lolote la kufunga ndoa baadaye, ni sawa na kukimbia juu ya mtambo wa mazoezi; utatumia nguvu nyingi lakini hutofika kokote
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi...
14 Reactions
239 Replies
39K Views
It is not our fault that we become involved in a manipulative relationship. In the beginning everything might seem perfect but later you may notice signs which show that your partner is too...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Habari zenu, za siku nyingi jamani. Nina rafiki yangu wa kike ana miaka 27. Anatafuta mume/ mwenza wa maisha sio boyfriend na yupo serious, aliyeko serious waanze safari ya maisha Sifa zake ni...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mambo vipi. Wanawake ni next level. Yaani kuwaelewa ni ishu iliyowashinda mpaka wanafalsafa. Mwanasayansi kama Newton pamoja na kujua kwake hesabu lakini linapokuja suala la mwanamke lazima...
104 Reactions
338 Replies
41K Views
Habari wadau Katika harakati za maisha.. nimehudumiwa na mama lishe graduate .. yaani mpaka nimemuonea wivu bwana wake.. Kizazi hiki cha slay queens binti kama huyu haitaji maswali mengi...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba. Na nisikudanganye, zamani bila...
9 Reactions
38 Replies
49K Views
Nilikutana na huyu binti miaka 3 iliyopita akifanya kazi hoteli moja hapo DSM ambapo nilikuwa nimefikia, kutokana na macho kupenda tukakubaliana na kucheza mechi ugenini. Baada ya hapo...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…