Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela...
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...![emoji116]
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli...
Enzi hizo kabla ya kuwaelewa wasichana vizuri kuna-stage wanaume tunapitia na huwa mara nyingi tukikaa tunajazana mauongo uongo mengi kiasi kwamba mpaka ukitoka hapo kama kuwaogopa wasichana basi...
Huu ni utafiti wangu ambao nimefanya na kuja na majibu na kama utakuwa hujakubaliana na mimi utaweza kukosoa.
Pamoja na wengi kudhani kuwa mabinti hao ambao ni kuanzia miaka 18 hadi 24 kuwa na...
zana qulibaly Wakuu Mimi huwa nakaa hata mwezi mzima sijakutana kimwili na mwanamke yaani mpaka niiotee show Basi ujue Ni zali kweli kweli sinaga habari nao kabisa.Sasa kesho Nina mechi na...
1. Matumizi mazuri ya muda
Matumizi ya muda ni swala muhimu kwa kila mtu, tena ni msingi wa mafanikio kwa kila mtu. Hivyo mzazi au mlezi anapaswa kumfundisha mtoto wake matumizi ya muda tangu...
Mkufunzi,
Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia.
Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si...
Habari wakuu, natambua ya kuwa suala la mawasiliano kupitia simu za mkononi ni muhimu na la kawaida.
Tumekuwa tukipokea simu za ndugu, jamaa na marafiki ili kupeana taarifa mbalimbali, lakini...
Kama mwanamke si mke wako na huna mpango wa kumwoa usipoteze pesa zako, ikiwezekana mukubaliane kabisa as mnafanya business, na si akuletee shiida zake kana kwamba bila wewe angekufa.
Mapenzi ya...
Habarini wanajamii wenzangu.
Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea...
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani...
Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini...
Sasa mbele ya kioo nilionekana very smart... Suruali yangu Pana Aina ya Kodak Bwanga ilinikaa vizuri kabisa, leo niliivalia kifuani, yaani mkanda umepita chini ya kwapa kiasi kwamba koromeo na...
Wakuu watu wanazaliwa na kukua...
Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka...
Kweli nimekusahau mie sijuickuomba,msamaha niliomba.
Sijui kulia nilia,sijui kusema i love u nilisema nilifanya,kila kitu ili urudi ila umegoma.
Sasa majuzi kati kweli nimekusahau nimefurahi...
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana
Wameona kudanga ndio...
Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli?
Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.
Nguvu kuu 7 alizonazo mwanamke
1. Uwezo wa kuona na kugundua ya mbeleni (ana uweza wa kuona kisichosemwa au kitakachokuja). Anatumia mlango wa sita wa fahamu unaoitwa EPS
2. Ana...
Natumaini mko shwari
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE.
Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe...