Hivi kumbe watu mnapiga show daily

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,725
IMG-20190606-WA0112.jpeg
zana qulibaly Wakuu Mimi huwa nakaa hata mwezi mzima sijakutana kimwili na mwanamke yaani mpaka niiotee show Basi ujue Ni zali kweli kweli sinaga habari nao kabisa.Sasa kesho Nina mechi na shemeji/wifi yenu huwezi amini kuanzia leo nimeanza kujiandaa nikapita zangu dukani kununua zana za kivita si mnajua Tena vijana wasomi tunajitambua hatutaki magonjwa ya ngono heri tuonekane washamba tuvae tu mipira..Sasa dukani nakuta condom imebakia moja tu nikamuuliza muuza duka kwani condom Ni bidhaa zinazonunuliwa Sana muuzaji akaniambia Kaka Kama hupigi show Ni wewe lakini wenzako kila siku,akasema alinunua condom box nne na zote zimeisha ndani ya week tu.dah nikabaki nastaajabu aisee kumbe binadamu sio watu wazuri kumbe ndo mnafanya hivi?
 

Attachments

  • IMG-20190606-WA0112~2.jpeg
    IMG-20190606-WA0112~2.jpeg
    56.5 KB · Views: 26
  • IMG-20190606-WA0112~2.jpeg
    IMG-20190606-WA0112~2.jpeg
    56.5 KB · Views: 27
Mi huwa nawadanganya madem eti zinanipa vipele...ili niloweke bila gloves. Halaf natumia ile mbinu ya Zuma ya kukimbia kuoga kuondoa virusi

NB: SIPIMI NG'O
Ile inaitwa mbinu ya kivita. Umuwai adui kabla hajakushambulia.
 
Hahaaaa tomby nazingua vipi mkuu? We hufuati nasaha za wazee? Jacob Zuma style....ndan ya dak 1 toka kutiana unaoga maji ya baridi virus havikamati chaneli ng'o
 
Mkuu, katika maandalizi yako, usije ukathubutu kumeza dawa za kusisimua mwili (Viagra) kabla hujawa na uhakika wa gemu. Kabla ya kumeza zile hakikisha mtoto yuko chumbani na hayuko kwenye MP. La sivyo, utajuta kuzaliwa...
 
Back
Top Bottom