Amka mwanaume, mwanaume hasifiwi kuhonga.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Kama mwanamke si mke wako na huna mpango wa kumwoa usipoteze pesa zako, ikiwezekana mukubaliane kabisa as mnafanya business, na si akuletee shiida zake kana kwamba bila wewe angekufa.
Mapenzi ya rami na viatu yaishe, kila siku viatu ndio huumia.
Kwani utamu kila mtu anao mwenyewe kama unabisha piga punyeto halafu nenda kwa malaya huyo, utamwona kama kaka yako tu.
Halafu ukimpa kila anachohitaji kwako huku anajua kabisa kuwa hamuoani anakuona lofa.
 
Mwanaume hasifiwi ubaHiri baba ako angekuwa bahiri wewe husingepatikana chief!!
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kama unazo kumpa mwanamke siyo dhambi, ila kama huna ndiyo hivyo utaishia kulalamika...

Cc: mahondaw
 
Kama mwanamke si mke wako na huna mpango wa kumwoa usipoteze pesa zako, ikiwezekana mukubaliane kabisa as mnafanya business, na si akuletee shiida zake kana kwamba bila wewe angekufa.
Mapenzi ya rami na viatu yaishe, kila siku viatu ndio huumia.
Kwani utamu kila mtu anao mwenyewe kama unabisha piga punyeto halafu nenda kwa malaya huyo, utamwona kama kaka yako tu.
Halafu ukimpa kila anachohitaji kwako huku anajua kabisa kuwa hamuoani anakuona lofa.

Kuhonga ni kuficha madhaifu ya mwanaume.

Mwanaume anayejielewa hawezi kuhonga.

Playboy watanielewa ila hawa mpaka wahonge ndio wapewe watabisha
 
Yaani wewe kukuruka vyote kitandan ila mwisho wa siku unihudumie kama unihudumii unajichosha tu save that energy ukatafutie hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom