Hello,
Not all people watakucheka na kukusema, but nimeona watu wengi ambao walishajijengea reputation mbele ya jamii kuwa wana hela nyingi, wakifulia tu..maneno ambayo huwa wanasemwa kama ni...
Salaam wana jukwaa.
Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama...
Habari gani ndugu zangu wanajamvi pendwa la MMU. Natumaini wote ni wazima wa Afya kabisa, Mi pia ni mzima wa Afya.
Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye kusema ukweli nampenda ila kuna zile up and...
"
Inavyosemekana haijathibitika.
Huyo kijana katika video anamchapa mama yake mzazi. Sina hakika kama ni kweli vyovyote iwavyo sijapendezwa kabisa nimechukizwa kweli.
Naomba anaejua ukweli wapi...
Habari wanajamii?
Poleni na majukumu ya week nzima!
Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu...
Salaam.
My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi...
Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika...
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.
Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi...
Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo.
Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama...
Hello my Love,
When will you come to me. I am tired to be single to sleep alone like nobody.
I need you a true love, husband, one of the kind where are you?
I will love u, respect u and i will...
Habari za jumapili,
Basi bana sina hili wala lile, leo sikuwa na mpango wa kuamka mapema kwa sababu kadha wa kadha.
Ghafla nakatishwa usingizi na simu asubuhi asubuhi aaagghhh kuangalia namba...
Inshort mabinti wa KGR region ni malaya i hate you all..[emoji51][emoji34][emoji34]yani woootee hakuna kubisha ni wana tamaa,malaya na hawathaminiki ht kwa punje...mtanisema nimeumizwa sitokataa...
Habarini wakuu,
Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu. Nina mahusiano na binti mmoja ninampenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni...
Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale
Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu...
Sasa hivi ni miaka mitatu imepita tangu nimuache kiutani utani mwanamke alienipenda kwa dhati.
Naomi mwanamke ambae aliweka malengo ya milenia kwangu ni vile mimi nikajivimbisha kichwa na kujiona...
Hasa wadada, nini kimewakumba au ndo hizi kauli zenu za kudanga na pisi kali zimewafakaranisha na maisha. Unakuta mdada anapewa ahadi ya kuolewa lakini hataki kumkubali my brother, ni Bora uoe au...
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vipi ila nataka tujifunze kitu!
Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi cha miezi kadhaa na...
Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini.
Ni msichana mrembo...
Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka...