Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,168
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vipi ila nataka tujifunze kitu!

Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi cha miezi kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu na mimi kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!

Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaelekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miezi tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakini wakati wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia sasa ni miaka Sasa imepita

Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.

Ilipofka mwezi wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu

Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.

Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!

Kesho yake ilipofika napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea

Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!

Nimejifunza.
 
Ulichepuka na huyo ni kimada, hamkuwa na mipango yoyote ya maisha, unavyosema alikuja kikazi, inaonekana kikazi labda alikuwa beki3...
Ndiyo huna mawasiliano zaidi ya simu, si ajabu hata kwao hukujui!

Haya kila mtu avune alichopanda.

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Ina maana hata mtoto wako hujawahi kumuona? na vipi unagawa tu hela bila kuwa na uhakika zinafanya kazi gani huko zinakoenda. Je ulimuona mwisho mwaka gani?

Kuna uzembe mkubwa sana unaufanya ndugu yangu wacha upigwe tu
Sijawahi kumuona kulingana na nature ya kazi yangu mda mwingi ninakuwa nipo bse siwez hata kusafri kwenda kumuona huko kijijin
 
Ulichepuka na huyo ni kimada, hamkuwa na mipango yoyote ya maisha, unavyosema alikuja kikazi, inaonekana kikazi labda alikuwa beki3...
Ndiyo huna mawasiliano zaidi ya simu, si ajabu hata kwao hukujui!

Haya kila mtu avune alichopanda.

Everyday is Saturday.......................... 😎
Hahahahaaaa mkuu nature ya kazi ninayofanya. Ndyo changamoto yy alikuwa stationary
 
Nakili mkuu nilifanya kosa natambua lakin kwa Hik alichokifanya hyu mwanamke na delete kichwan kwako naamn pesa hzo atazitumia na zitaisha!
Pesa zinaweza kuisha ila kama mtoto ni wako hilo halifanyi kukwepa majukumu ya kumtunza. Nenda mtafute umwone huyo mtoto na kama ni wako angalia taratibu za kumtunza mtoto katika njia zinazofaa damu yako kutunzwa
 
Wanaume tumefika mwisho, we unatumaje pesa ujaona mtoto ,hujajua kama kajifungua kweli,usije kuwa 100% hawa viumbe hadi uweke ndani apo kidogo
Hicho ndicho nimeanza kukifikiria kichwan na hi baada yakuona dalili ya hvi karibuni yaan nimepigwa!
 
Kosa kubwa sana unafanya. Kama ni damu yako ifuatilie ujiridhishe
Jamaa akubali tu alichepuka na beki 3, angekuwa hana mke angekuwa kishaenda huko kijijini kuwaona au kishamrudisha mjini fasta, wapambane na hali..bila kujali necha ya kazi.

Aliamini anaweza kummeneji vizuri akiwa huko kijijini, kumbe beki3 naye za kwake kachanganya na za kuambiwa.. 😀
Kaona akimtumia hiyo hela, ndiyo basi tena.

Everyday is Saturday.........................😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom