Si ndio ameamua kutuvimbia kwenda kukojolea kwa 150k sehemu wengine wanakojolea kwa 5k au bia mbili tu[emoji23]Sasa mkuu, wee muhudum wa Hotel/Bar ... hao si wanajiuza tu?
Hahahahahah huyo amempa mishahara miwili bila kujua 😅😅😅 ni nani anakataa mishaara miwili per night?Si ndio ameamua kutuvimbia kwenda kukojolea kwa 150k sehemu wengine wanakojolea kwa 5k au bia mbili tu[emoji23]
[emoji23][emoji23] jamaa ametuangusha sana aiseeHahahahahah huyo amempa mishahara miwili bila kujua [emoji28][emoji28][emoji28] ni nani anakataa mishaara miwili per night?
Bado yupo kwenye usukani?..hakuondoka na Mbwatukaji Donald Trump.1. lipia tangazo
2. ondoa vikwazo kwa Iran mr. Pompeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio ameamua kutuvimbia kwenda kukojolea kwa 150k sehemu wengine wanakojolea kwa 5k au bia mbili tu[emoji23]
iyo 150k mbina ni vihela vidogoSi ndio ameamua kutuvimbia kwenda kukojolea kwa 150k sehemu wengine wanakojolea kwa 5k au bia mbili tu[emoji23]
Ndo ulitongoza hivyo.Jamaa yangu tuko nae tunakula hapa hotelini, kuna muhudumu nikampenda, nikaomba namba muhuduma akakataa, nikamwambia direct kua kwa siku moja nampa 150,000 akakubali.
Jamaa alishangaa sana
Nikwambia ndio maisha, sikuizi tunatongoza kisasa