Kwanini vijana wa siku hizi hawataki ndoa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Hasa wadada, nini kimewakumba au ndo hizi kauli zenu za kudanga na pisi kali zimewafakaranisha na maisha. Unakuta mdada anapewa ahadi ya kuolewa lakini hataki kumkubali my brother, ni Bora uoe au kuolewa ili uwe unafanya tendo la ndoa kuliko hivyo unavyofanya uzinzi.

Nawasihi vijana wenzangu fanyeni harusi na wapenzi wenu muwe kwenye majukumu rasmi ila wakina dada nawasihi sana kuweni wapole unapotongozwa usimkatae mkaka wa watu huenda kweli ana nia, usimdharau kwa kuwa hawezi kukupa hela tambua ya kwamba mtakapoanza kuishi pamoja riziki yake itaongezeka na vile vile anapokulaga yeye na wewe ndko utakula hapohapo.

Mbona maisha simple nyie mnataka muyacomplicate?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,796

"Tangu umri wangu usogee kidogo najikuta naamini kuwa sitakiwi ku share hovyo hovyo "USB" yangu na watu tofauti tofauti zaidi ya yule "Shareholder wangu pekee"

Lakini pia nimegundua ku share USB hovyo hovyo kunaleta virus, demage na mikosi ya ajabu ajabu inayopelekea umasikini"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom