mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Habarini wakuu,
Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu. Nina mahusiano na binti mmoja ninampenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni kwamba ana hali ya kukosa hamu ya tendo la ndoa.
Mara zote nilizowahi ku sex nae nikifunga goli moja hataki tena kuandelea. Hapendi kuongelea mambo ya mapenzi. Nikisema nikae kimya nisimuombe gemu ndio anajisikia raha. Mara nyingi nikimuuliza anadai hana hamu ya tendo kabisa.
Najisikia vibaya kumuacha, sipendi kumsaliti kwa michepuko.
Nisaidieni, tatizo linaweza kuwa ni nini?
Nimsadie vipi.
Asanteni sana. Ni usiku mno ila ndio mida hii nimeanza tumefika katikati hataki tena.