Mkiamua kuachana ni vizuri kuachana kwa amani maana hujui kesho yako

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,537
9,074
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu!

Mimi binafsi nilikuwaga najiamini nikimwacha msichana siwezi kurudiana naye lakini mwaka jana mwezi wa nane kuna kadada flani nilikapiga chini baada ya kushindwa baadhi ya tabia zake hasa uongo yaani hasemagi ukweli kabisa hivyo ikapelekea nikapoteza imani naye nikaamua kumwacha na kukataa kumsamehe maana ni miaka miwili hataki kubadirika lakini baada ya kumwacha nimevumilia mwezi hivi nikahisi kuna kitu bado namiss kwake.

Japo sio kazuri sana kuzidi hawa wengine ikabidi nimtafute nijishushe japo najua kuna boya anamiliki kwa sasa maana dalili naziona ila nimejiegesha kwake huwa nakatafuna kimya kimya bila kushika simu yake wala kumfuatilia ila ukweli ni kwamba kila nikimuhitaji ananipa mambo na huwa naenjoy kuliko hata demu wangu mpya ambaye ni mzuri kwa kumuangalia tu.

Nilichojifunza ukiamua kumwacha msichana usiseme kwa watu wala usimtamkie mabaya muache kwa amani siku ukijiskia kummisi itakuwa rahisi kukupa mbunye hata kama alishaolewa wanakuwaga na huruma hasa kama alikuwaga anakuelewa show yako.

1629705324640.png

Bila Shaka Baadaye Wewe Mwenyewe Mleta Mada Utakuwa Tatizo Kwenye Hayo Mahusiano Tu
Tukupe Muda Tena Awamu Ya Tano Hii
Unasema Kujiegesha Baadaye Utataka Kumiliki

Ukiachwa Achika!!
 
Huyo ni harbitual liar, Pathological lying, mythomania au pseudologia fantastica. Usitegemee kuwa ipo siku atabadilika kama umejiegesha endelea kujiegesha akilemewa atakuangusha
 
Sijawahi rudisha majeshi nyuma, akisha kuwa Ex basi hata salamu tukikutana njiani hawezi ipata kutoka kwangu,kuachana kwa amani ikiwa na maana msitupiane maneno machafu sio
 
Sijawahi kurudiana na kiumbe anaitwa x hata kwa bahati mbaya toka nimeanza mapenzi, kwanza huwa nahisi ni kujishusha sana kulikopitiliza kumtafuta x eti umemmic siwezi huo ujinga. Nikitoka sehemu ndo ntolee hiyo na haina maana tutagombana au kurushiana matusi no kwa amani tu lakini siwezi kurudi kwake.
 
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu.!

Mimi binafsi nilikuwaga najiamini nikimwacha msichana siwezi kurudiana naye lakini mwaka jana mwezi wa nane kuna kadada flani nilikapiga chini baada ya kushindwa baadhi ya tabia zake hasa uongo yaani hasemagi ukweli kabisa hivyo ikapelekea nikapoteza imani naye nikaamua kumwacha na kukataa kumsamehe maana ni miaka miwili hataki kubadirika lakini baada ya kumwacha nimevumilia mwezi hivi nikahisi kuna kitu bado namiss kwake.

Japo sio kazuri sana kuzidi hawa wengine ikabidi nimtafute nijishushe japo najua kuna boya anamiliki kwa sasa maana dalili naziona ila nimejiegesha kwake huwa nakatafuna kimya kimya bila kushika simu yake wala kumfuatilia ila ukweli ni kwamba kila nikimuhitaji ananipa mambo na huwa naenjoy kuliko hata demu wangu mpya ambaye ni mzuri kwa kumuangalia tu.

Nilichojifunza ukiamua kumwacha msichana usiseme kwa watu wala usimtamkie mabaya muache kwa amani siku ukijiskia kummisi itakuwa rahisi kukupa mbunye hata kama alishaolewa wanakuwaga na huruma hasa kama alikuwaga anakuelewa show yako.

Uzi tayari.
Eti wanakuwaga na huruma🤣🤣🤣🤣 kaka hawanaga huruma sema umekuja na mihela ndio wanakupa mbunye.

Huna hela ata mlikuwa mmeacha vizuri huoewi papuchi ng'oo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom