Masikini ndio hupenda kuzama chumvini

Masikini ndio hupenda kuzama chumvini

switch Off

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
50
Reaction score
205
Kwa maisha niliyo yapitia na sehemu mbali mbali nilizo tembea katika harakati za kutafuta maisha nimegundua kuwa watu waopenda kuzama chumvini ni maskini hawana hela na hawana uwakika na maisha

Maskini anaogopa kuachwa na mwanamke hivyo anaamua kutumia njia mbadala (kuzama chumvini) ili kumpagawisha mwanamke ili tuu asiachwe

Huwezi ukawa na milion kazaa benki na ukawa na uwezo wa kuingiza pesa nzuri kwenye maisha yako alafu ukaenda kuzama chumvini

Maskini wengi wanatamani kurahisisha maisha kupitia mwanamke ..labda awe analelewa na jimama au awe anahudumiwa na mtoto wa kishua na ndio maana wanazama chumvini ili waonekane makonki kwenye mgegedo

Miaka ya nyuma niliwahi kuzama chumvini kwa mwanamke ambaye nilikuwa naogopa kuachwa nae lakini bado alikuja kuniacha tuu..sababu nilikuwa unga unga ,maisha ya maskani

Jambo la kuzama chumvini halitoweza kujirudia tena maishani mwangu ,kwa sasa naona niupuuzi ulio pitiliza..

Kama unatabia ya kuzama chumvini basi jijue wewe ni maskini mwenye maisha magumu ukipata hela utaacha tuu
 
Back
Top Bottom