Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna muda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume. Hata ukiwa mzee, mlemavu, sura mbaya ila pesa kama ipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata. Mambo ya kutongoza...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Unakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha. Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Flirting with a man is difficult for most women, with the exception of a small number of them. The ideal situation would be for men to always be the ones to take the initial step. However, because...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Habari za muda huu, Nakuja moja Kwa Moja kwenye mada, home hapa kuna beki3 ana kama miezi 3 hivi tangu aje naona anaanza kuniletea mazoea flan hivi dah, najua bimkubwa lazima atajua nafanyaje...
6 Reactions
38 Replies
10K Views
Tuambizane basi posa/mahari huwa ni kiasi gasi kwa kabila yenu?maana suala la kuoa huwa huwezi kukwepa utaratibu wa kikabila. Mnapokea viumbe wanaohema wangapi kama mbuzi, kuku, ng'ombe, kondoo...
0 Reactions
80 Replies
24K Views
Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au...
0 Reactions
7 Replies
936 Views
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na...
10 Reactions
180 Replies
16K Views
Ni dhahiri wakaka ndio wanaongoza katika kuwatokea jinsia ya kike. Je, ni dalili gani au njia zipi wadada wanazitumia kuonesha kuwa wanamtaka mkaka?
5 Reactions
138 Replies
21K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri Sasa ipo ivi kwenye mahangaiko ya kila siku hatimaye nimekutana na mdada mmoja mzuri sana according to me sifa zake ni mrefu, rangi ni maji ya kunde, ana mwili wa...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Katika harakati za kutafuta mwenza swala hili limekuwa likielezewa katika namna tofauti tofauti na baadhi ya wanawake Wakati mwingine utasikia wakisema...
3 Reactions
84 Replies
11K Views
Wakuu hii ni baada ya kumwagana na wife wa kihaya, chanzo ni anadai kurudiana maza kumpa taarifa kasema nikimrudia watoto wataozaliwa sio wajukuu wake.. Nikaona Laana inaninyemelea
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara..... Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu unajua sisi wanaume tunakumbana na majaribu mengi sana maishan kwenye engo hii ya mapenzi Ujue kuna hela ambazo unaweza mpa mkeo kama mkeo ama demu wako kama demu wako halafu kuna hela...
12 Reactions
85 Replies
6K Views
Ratiba itakuwa ifuatavyo; Baada ya kula karanga, Ndizi na Chokuleti tarehe 13/2 jioni nitapumzika. Nitajitahidi mechi na wife ianze saa sita usiku ambapo tarehe 14/2 itakuwa imeshaanza. Sitapiga...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiufupi mimi niliwahi kujichanganya nilitoka zangu uko chuo nikarudi kitaa si unajua tena, chuo mambo ya viwalo mwana una ng'aa mbaya sasa hom kukawa na shop moja nikaachiwa niwe naiangalia pale...
10 Reactions
116 Replies
12K Views
Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim. Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello I’m looking for Milf 40-100 A good looking and beautiful as well Should be employed or self employed I don’t prefer immature slayers 18-35
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Jamiiforums: Unaamini Kupiga/kupigwa katika Mahusiano, husaidia kurekebisha tabia? Karibu Clubhouse Ungana nasi katika Mjadala huu kupitia Clubhouse ya Jamiiforums leo kuanzia saa kumi na mbili...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambaye anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliyedumu naye karibu...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom