Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,970
Wakuu unajua sisi wanaume tunakumbana na majaribu mengi sana maishan kwenye engo hii ya mapenzi
Ujue kuna hela ambazo unaweza mpa mkeo kama mkeo ama demu wako kama demu wako halafu kuna hela unatoa kumpanga mtu yaani kwa lugha nyingne una mseti aingie king. Hapo hujamtongoza wala nini na hiyo sio kuhonga mind you
Zinakuaga za vocha za kusuka za chips baga etc..hizi ni kama unabet
Sasa nimejaribu kufanya tathmini ni kiasi ngai huwa natupa huko daah nimeona naweza fanyia kitu kikubwa tuu cha faida au ni bora umtumie mama yako nyumban ale ice cream au kuku kwa mrija
Uzi tayarI
(Well.zingatia. Hadi uzi unaandikwa nimetoka kurusha elfu 30 saa hii for no reason. For new chick/project in progress) Mwanafunz wa IFM