Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu... Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo... 1. Usiajiri shamba boy 2. Usimpige mkeo 3. Usiruhusu mkeo...
15 Reactions
89 Replies
8K Views
Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari jf kwanza kabisa napenda kutoa shukurani kw mungu mpk now nipo mzima wa afya nanyi natumai mu wazima kama nilivyosema natafuta mwanamke wa kuishi nae umri wake awe na 25 +..... 30 pia awe...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake 2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni...
28 Reactions
146 Replies
12K Views
Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Una umri wa miaka mingapi? Unafikiri unaweza kuwa messi na hapohapo ukawa usain bolt, usijidanganye chagua moja! Kama unapenda kufahamu mustakabali wa muda wako na malengo yako, usione uvivu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nawauliza nyie wanawake hivi dunia ya leo unaweza pata mwanaume mwenye sifa hizi zote na ukimpta utajisikiaje? Mpole, sio muongeaji sanaa, namanisha mwenye tunda la upole la roho mtakatifu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aisee.. Kiukweli katika Maisha Yangu Hakuna kitu nachojivunia kama kuwa na Upendo wa Dhati sana Japo Umeniumiza sana Maishani Mwangu. Kingine najivunia sana kuwa mtu ambaye ninapendwa sana na...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mambo vipi wanaJF Naombeni ushauri wenu kama unalo lolote la kunishauri!! Nina mpenzi wangu ambae tuna muda wa miezi 7 sasa na nampenda sana tena sana tu!Jambo linalonifanya niombe ushauri ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufanya sex wakat wa kuoga raha sana. Raha yake inaeza kuwa mara 100 ya sex zinazofanyika sehemu nyingine. Ukifanya sex wakat wakuoga especially kwenye bathtub unaweza ukahisi upo dunia nyingine...
6 Reactions
66 Replies
14K Views
Habari wakuu. Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa. Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Kwa wanao pitia hali ya kukosa amani ilio au inayo sababishwa wa wapenzi wao wake zao waume zao. Ikiwa hujakutana na hali ya kukosa amani moyoni inayo sababishwa na mwenza wako basi shukuru MUNGU...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote. Uamuzi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Binafsi mie ninapenda sana wanawake nmekuwa nikionga kila wakati kusudi nifikie lengo la kukutana nao kingono Natumia hela nying sana kwenye kuchukua lodge au hotel Wakati mwingine nimekuwa...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari wana JamiiForum, Poleni na hongereni kwa majukumu. Mungu azidi kuwabariki katika utafutaji wenu mpate kile mnachokitafuta. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naombeni ushiriki wenu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…