Mwanaume: Kama umeoa usifanye haya ili kupunguza risk za kupigiwa

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,940
2,000
Habari wakuu...

Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo...

1. Usiajiri shamba boy

2. Usimpige mkeo

3. Usiruhusu mkeo awe na boda wake

4. Usiache kupiga show ya maana

5. Usiruhusu mkeo aende kwenye marathons

Na mengine mengi ongezea
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,917
2,000
Hayo yooote hata usipoayafanya kwa 110 percentage kama wa kugongwa atagongwa tu,muhimu tafuta hela zitakupunguzia stress ukisikia habari mbaya inayomuhusu mkeo.

Mimi huwa naamini kuwa na shilingi hata kama ni ya kutosha kula na kuweza kubadilisha mazingira ni kinga imara sana kwa akili ya mwanaume,so tu-focus kwenye hilo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom