Ikiwa hujakutana na hali ya kukosa amani moyoni inayo sababishwa na mwenza wako basi shukuru MUNGU

wansawa

JF-Expert Member
Oct 11, 2020
851
849
Kwa wanao pitia hali ya kukosa amani ilio au inayo sababishwa wa wapenzi wao wake zao waume zao. Ikiwa hujakutana na hali ya kukosa amani moyoni inayo sababishwa na mwenza wako basi shukuru MUNGU hali hii isikupate, uendelee kusikia kwa wenzio tu.
49439-Huzuni-ya-kuwa-mbali-na-Njia-ya-Furaha-path-2-happiness.com.jpg
 
Sema kimeumana..😅
 
Sanaaa ni balaa unaweza check ukichanganya na kilio
🤣🤣 Wacha nicheke tu mkuu sikupi pole maana wakati naumia mimi hakuna alienipaga pole! Nilikuwa naumia mwenyewe.. kauli yangu ni moja tu mkuu pambana.
 
Back
Top Bottom