Poleni na majukumu katika kuanzisha mahusiano na mwanamke yeyote yule awali kabla hata ya mgegedo lazima tukwazane na Mara nyingi vitu vya kipuuzi tu mfano ananiambia Malakipesa njoo,nikimwambia...
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto...
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa cha habari kinavyo gieleza.
Nataka kujua madhara ya kisaikolajia,yatakayao mpata kijana ambaye atafanya mapenzi na wanawake wengi,especial kwa wale ambao hawajaoa...
CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE.
Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi.
Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu...
Akiwa anatuma meseji badala ya kuandika "sasa" ataandika "xaxa"..., au anataka kuandika "sweet" lakini ataandika "cwry"..., au badala ya kuandika "so much" ataandika "xo much"
Masela wenye tabia...
Nawasalimu Asalam aleykum!
Kwakweli inasikitisha sana tasnia ya kutongoza imeharibiwa vibaya mno!
Vijana wa Sasa utongozaji wao ni wa mwendokasi, yaani ni blah blah tu
Maneno machache, "I love...
Habari za jioni wakuu,
Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo.
Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa
Niliandika nahitaji mke na kweli...
Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua
1.tiyali wameshatoa mahali
2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee
3.tiyali wameshatoa posa
Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya...
Habari wana JF
Husika na kichwa cha habari hapo juu,, ningependa nieleze japo kwa uchache juu ya historia ya maisha yangu, familia yangu pamoja na hali inayoendelea hv sasa.
Mimi in kijana, umri...
Habari za muda jamani
Haraka haraka bila kupoteza muda twende kwenye mada ,Kuna haka katabia flani binafsi Kana niboa Sana watu kuhusisha moja kwa moja sababu ya mwanamke kucheat ni kutopata...
Nawasalimu wana Jamvi!
Hivi karibuni miaka kama 5/6 nyuma kumetokea wimbi kubwa la wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ukipita kila mahali kwenye social media unaweza shuhudia hilo. Na kwa kiasi...
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu...
Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI.
Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia...
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa.
Iko hivi hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya...
Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne...
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu.....
Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi...
Tabia ya vijana kuwa katika mahusiano na wanawake walio wazidi umri inazidi kushamiri. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kuwa katika mahusiaano kama hayo lkn moja kubwa ni iyo love. Embu...