Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake wengi asilimia 80 ukiondoa K, hamna kitu kingine wanachoringia. Hebu fikiria wanawake kadhaa ambao umedate, wengi utakuta siku atakayokwambia kuwa K yake imeziba ndo unambwaga hapo hapo...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hawana hapewi talaka,,, huu msemo nimeambiwa na hawala baada ya kupotezana miaka mingi sana. Akatafuta namba yangu Mnyabi akapiga akaniambiwa hawala hapewi talaka. Yaani nikagundua hakuna wivu kwa...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Wazee wetu wenye hekima walikwishasema, heshima ni kitu cha bure. Mazoea huondoa heshima ndani ya muda mfupi sana. Nirejee kwenye mada kuu. Nasikia kwenye mitandao na mitaani kuwa, ni kawaida kwa...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani. Mchungaji alimfokea. Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Nilikua na girlfriend wangu na nilimpenda sana aisee sasa mwezi mmoja nyuma tuligombana na alilia na kuwa myonge sana but sikujali maana alikua anatabia ya kushindana na mimi sasa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mkulungwa nimerudi tena, mpaka leo bado nipo tu home wife aliniombea ruhusa ya week 2, korodani zangu bado zinauma mno, yaani hata kuoga peke yangu siwezi. Wife amekuwa akiniogesha hizi siku...
-1 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani napenda mbegu za kiarusha Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
19 Reactions
160 Replies
15K Views
Nakubali mwili una mahitaji yake lakini akili pia ina mahitaji yake. Mahitaji ya mwili most of the time huizidia akili na akili nayo kukubali kutawaliwa na mwili, hii ni kwa wengi wetu kama siyo...
17 Reactions
88 Replies
10K Views
Wakuu mko poa?Jumatatu inaendaje mimi niko poa sikwenda job leo maana nimeamka na hangover ya pombe kinoma noma jana nilikua nasakata rumba si unajua ujana maji ya moto? Ngoja nirukie kwenye sub...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Na hii imetokea kwa vijana wengi, wakiwa mikoani kelele ni nyingi sana mara watakwambia ukija mjini tutafutane angalau tubadilishe mawazo, mazingira, na tupeane fursa. Sasa ukifika mjini...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari Ndugu, naomba niende moja Kwa moja kwenye point. Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu Salaam; Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali. Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada...
7 Reactions
155 Replies
15K Views
Ubaya wa kitu upo katika macho ya mtu aliyeona ubaya huo. Na uzuri wa kitu pia upo katika macho ya mtu aliyeona uzuri huo. Kitendo cha kushindwa kutambua kwamba kila mtu yuko hapo alipo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
[emoji116][emoji116][emoji116] Mdada wa kuoa, anatakiwa kuwa mshamba kiana...... Sio mdada anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,zarumendra...._ huna hata cha kumdanganya?...._ Inatakiwa...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…