Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani huyu binti ukimwangalia ni tofauti kabisa na nilivyodhani, Nilimtongoza kakubali lakini nilipomuomba game alikataa na kusema hataki mtu wa kuchezea usichana wake, Baada ya kusumbuana nae...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Wanawake ni binaadamu wa ajabu sana katika uso huu wa dunia yaani hawa watu ni next level,kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa,Newton na uwezo wake wote Alishindwa kuwaelewa,mtume...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu WanaJF, naandika ujumbe huu kwenu nikiwa najitambua, Mimi kijana nina miaka 24 natafuta mchumba bila kutania, Binti alioko tayari kuanzisha mahusiano ya kweli na mimi namkaribisha, awe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja Sifa; 1.Awe mweupe au maji ya kunde 2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana 3.kama atakuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 28 Dini mkristo Rangi mweusi Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke Sifa awe kuanzia miaka 24-27 Dini mkristo Awe mchakalikaji maisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari zenu ma bidada na wamama kuna hichi kitu wanaume tunataka mtutoe tongotongo Eti hivi ni kweli sisi wanaume kuna watu wenye mihogo iliyochangamka inapomezwa na mbususu? Maana nimeshasikia...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Hivi utajisikiaje siku ukimsikia mpenzi wako anajuta kukufahamu na anazungumza hivyo baada ya kuona hamna malewano mazuri au mmegombana au kuna vitu mmeshidwa kuelewana. Je upande wako utajisikiaje
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchepuko umepagawa na huduma. Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Samahanini Nina tatzo moja naomba mnisaidie, Yaani Mimi katika harakati zangu za kutongoza, nikijibiwa "Nina mtu" au "nina mpenzi tayari" Sina ujanja na huwa sijui maneno gani Tena ya kusema na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za wakati huu wakuu naomba nisiende mbali niingie kwenye mada moja kwa moja kama kichwa kinavyojieleza Wakuu siku hizi nimekuwa mtu wa ajabu kweli, yaani nimekuwa na wivu usio na maana...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ilivyo kwetu wanaume Mara zote tunatumia mbinu nyingi nyingi ili tu tuweze kula mbususu za wadada wa watu. Katika njia hizo zipo njia salama na zipo za hatari ...Basi Leo katika utafiti...
7 Reactions
117 Replies
9K Views
Wapendwa, Wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini
12 Reactions
188 Replies
16K Views
Ipo hivii wanaume wenzangu leo nataka tujulishane juu ya hili jambo mwiba kwetu. Maana hii taasisi iitwayo ndoa imegeuka na sio kuwa sehemu ya furaha na amani kwetu... imegeuka kuwa sehemu ya...
21 Reactions
103 Replies
7K Views
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu! -Umri 32 -Dini Mkristo -Elimu Degree -Kazi Mwajiriwa -Sina mtoto Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo Awe- Dini mkristo -Umri 34-45 -Awe anajishughulisha
22 Reactions
169 Replies
16K Views
HABAR WADAU Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Ndio kama kichwa kinavyojieleza, Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende? Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo? Be honesty and tell...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Kwani ni dhambi kula mbususu bila kutoa Huduma? Kazi anayo, pesa anayo ni lazima sana kumpa huduma, Je ili huwe mwanaume wa kweli lazima utoe huduma ata kama umezidiwa kipato? Cc Zero IQ
2 Reactions
5 Replies
874 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…