Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima, Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi, hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya. Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani...
8 Reactions
72 Replies
8K Views
Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake...
39 Reactions
75 Replies
9K Views
Wasalaam wapendwa wa MMU. Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?' Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri. Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo...
20 Reactions
41 Replies
5K Views
Jaman wazee wa JF, Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins...
11 Reactions
85 Replies
6K Views
USIJILAUMU KWA JAMBO AMBALO HAUWEZI KUBADILI MATOKEO YAKE. Maisha ni safari ndefu,na katikati ya safari mwanadamu anafanya makosa mengi sana kupitia mawazo yake,meneno ya kinywa chake na hata...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content...
17 Reactions
55 Replies
7K Views
Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba Hasira ni mbaya, na kwa sababu hio hatutakiwi kuwa na...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za mida hii ndugu zangu Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua. Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina...
28 Reactions
245 Replies
19K Views
Wadau nikiwa na ushuhuda nimepitia Changamoto ya kuishi na Mwanamke mpenda ushirikina (Nguvu za Giza) IL nilikaza na kuvumilia mengi. Ishu ni kwamba bado Nina kiu ya kutaka kujua Nitajuaje...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mnaosimamishaga pisi njiani na kuomba namba na mkapewa nisaidieni mwenzenu. Nimezoea wa restaurant na bar ambao nawakutaga wamekaa hapo kidogo inakuwaga rahisi mno. Lakini hisi za barabarani eti...
1 Reactions
7 Replies
617 Views
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha, sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
Hili suala nilipolianza wengi hawakunielewa. walidhanni labda nafanya masikhara. na wengine wakaenda mbali sana kunirushia matope ashakum si matusi matope ambayo walikulia katika hayo...
20 Reactions
110 Replies
9K Views
Habarini wana jamvi Siku kadhaa zilizopita nilileta malalamiko humu kuhusiana na dhulma niliyofanyiwa na kutapeliwa ardhi yangu. Naomba nilete feedback na kutoa shukrani kwa wote walionishauri...
39 Reactions
62 Replies
6K Views
Natumai wote ni wazima Juzi nilipanga kuonana na mpenzi wangu tutoke out weekend tukale bata ndogondogo za hapa mjini baada ya mihangaiko ya wiki nzima. Sijui ananipenda kiasi gani ila mimi...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi. Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na...
18 Reactions
362 Replies
26K Views
Habari za jion wapendwa Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo Ananiambia mpaka nimuoe...
7 Reactions
224 Replies
25K Views
Ndugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu. Mara nyingi amekuwa akituunga...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa...
19 Reactions
116 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…