Sijawahi kushehekea birthday na mpenzi wangu, nifanye nini kumsherehekea

kopo la chumvi

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
256
459
Ndugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.

Mara nyingi amekuwa akituunga mkono sisi yaani
MIMI
MDOGO WAKE (shemeji) &
MTOTO WETU
Ambao wote tumezaliwa mwezi,,tarehe moja yaani 12.6.,,,

Naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanye surprise gani kwake? Adi Sasa sijamwambia chochote na wala hana mpango wowote wa sherehe yake ya kuzaliwa

Karibu mnipe la kufanya
 
Andaa pesa kidogo mnunulie nguo na viatu kisha mwambie unataka umtoe out unampeleka sehem flani ivi tulivu mkiwa wawili tu pasipo kua na mtu mwingine muagizie chakula anachopenda ale anywe mpe na maneno matamu kisha mludishe home ata enjoy uwepo wako
 
Nashukuru sana mkuu
Nitafanya ivo
 
Sidhani, kwasababu Ishu za kusherehekea birthday zimeanza kizazi hiki Cha kuanzia enzi za Kikwete.
Hata kupikiwa chakula maalum? Sio lazima kufanya sherehe na kuita watu, ila inatokea unapikiwa pilau na kuku, na siku hiyo inatambuliwa kuwa ni siku yako, inapita. Na Kwa umri huo hata wewe mwenyewe unaweza kwenda mgahawani ukapata chakula ukipendacho sio lazima watu wengine waandae kwa ajili yako
 
Sijawahi Mkuu.Lkn kwa Mwaka huu ndo nilichana mwenyewe kwa kwenda mgahawani pata misosi halafu nikamalizia kwa kwenda kwenye viti virefu kupata kinywaji.Wakati huo nimetangulia kusali Kwanza ili kumshukuru MUNGU kwa Uzima na kuomba tena azidi kunijalia Afya njema.
 
Inapendeza!
 
Ndugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.

Mara nyingi amekuwa akituunga mkono sisi yaani
MIMI
MDOGO WAKE (shemeji) &
MTOTO WETU
Ambao wote tumezaliwa mwezi,,tarehe moja yaani 12.6.,,,

Naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanye surprise gani kwake? Adi Sasa sijamwambia chochote na wala hana mpango wowote wa sherehe yake ya kuzaliwa

Karibu mnipe la kufanya
chai masala.....vipi kuhusu yule denti wa chuo au ndiye huyu wa birthday au umejisahaulisha?
 
Sijawahi Mkuu.Lkn kwa Mwaka huu ndo nilichana mwenyewe kwa kwenda mgahawani pata misosi halafu nikamalizia kwa kwenda kwenye viti virefu kupata kinywaji.Wakati huo nimetangulia kusali Kwanza ili kumshukuru MUNGU kwa Uzima na kuomba tena azidi kunijalia Afya njema.
muhimu ni kujua tarehe ya kuzaliwa.

Pata pichakm huijui inakuwaje..
 
hayo ma birthday sjui mnayapendeaga nn hasa...wengine hatunaga time kwa mambo yakipuuzi...mm kwanza nmestuka jana kuona kuwa siku&mwez nliozaliwa umeshapita, baada ya kutizama karenda...
mambo mengine kujiendekeza tuu, mnasheherekea hwa kuingia mwaka mpya ama kupunguza siku za kuish....na midume mizima unalikuta uko wasap status limeweka ''my bday is loading" this is foolishnesses ....ona watakavyo nivamia
 
Sijawahi Mkuu.Lkn kwa Mwaka huu ndo nilichana mwenyewe kwa kwenda mgahawani pata misosi halafu nikamalizia kwa kwenda kwenye viti virefu kupata kinywaji.Wakati huo nimetangulia kusali Kwanza ili kumshukuru MUNGU kwa Uzima na kuomba tena azidi kunijalia Afya njema.
wew una afazar kulko zile ngamia znazotupigia misimu tuwapost sjui nn mara wajililishe wapate vijiela vya keki na shampeni...upuuz mtupu...furaha ya kwel ni kusheherekea pkeyako ukitafakal malengo yako dunian tangu uzaliwe
 
Asante Mkuu.Mimi huwa sipendi kusumbua watu kisa birthday.
 
Back
Top Bottom