Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba kurudi tena jukwaani wanajamii forum, msichoke, ugonjwa wangu ni ule ule, mapenzi!!! Kuna mdada nilimuomba namba yake ya simu akanipatia, kesho yake nampigia, simu inapokelewa na mtu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari. In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi...
18 Reactions
317 Replies
31K Views
Pamoja na kwamba umri umeenda lakini bado sijamuona wa kumuoa. Anayejichubua, simtaki Asiyetoka bila makeup, simtaki Anayefuga mikucha kama shetani, simtaki Single mama, simtaki Msela msela...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner...
7 Reactions
108 Replies
7K Views
Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo. Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu Habari za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa. Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu...
11 Reactions
95 Replies
7K Views
Utasikia "ukifa utaniacha nateseka na watoto" Aaaaghhh hii kauli ya kiwaki sana. Huu ni ushahidi mwingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Yaani ananiwazia kufa tu. Hivi serikali haiwezi kupiga...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwaka 2008 niliona shamba la ekari 23 linatangazwa kuuzwa kupitia mtandaoni, kutokana na picha za hilo shamba, nilivutiwa sana na nikaona ni bidhaa nzuri kwa ajili ya uwekezaji wa siku za baadaye...
24 Reactions
64 Replies
5K Views
Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Usiruhusu rafiki yeyote uliyekutana naye kazini au ukubwani apazoee nyumbani kwako. Hii ni kutokana na jamii tuliyonayo kuwa na mioyo ya chuki na fitina iliyojificha. Wengine watakuja kwako...
19 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date) Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date. sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Na siku kadhaa.. naumwa Sijiskii vibaya kimwili.. sehemu za siri haziumwi wala kuskia dalili yoyote, yaani kiafya niko safi.. Shida inakuja.. kuna mda vinatoka vi ute kama usaha, havina harufu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwanini uoe while bado una tamaa unatamani kila mwanamke uwe naye kwenye mahusiano naye. Hivi mnaoa hili kuwatesa hawa Wanawake mlio waoa Unakuta Mwanaume ameoa mwanamke mzur ila anaenda...
10 Reactions
135 Replies
9K Views
Waungwana seba akojiwe !! Naomba kujua huwa mnajisikiaje , nyinyi , ndugu zenu, na wazazi wenu. Dada unapata mchumba na unaanza kumueleza changamoto zako binafsi , ndg zako na wazazi wako...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Kuna mshikaji wetu mmoja alimlaza mkewe ndani kwa makosa ya kijinga kijinga tu ya maisha ya ndoa... kesho yake tukaenda kumsalimia shemeji yetu tukamkuta pale nje kituoni so tukatoka naye...
19 Reactions
35 Replies
4K Views
Kila mtu anayeingia kwenye mahusiano anategemea kupata furaha na Amani.Lakini inakuwa tofauti na matarajio yao.Amani inawezekana kwenye mahusiano kama mambo muhimu yakizingatiwa. Kuna vitu...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom