Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
570
650
Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
 
hivyo Zaburi 23 unakaa zako toka asubuhi mpaka mchana unasubiri upewe game, usipopewa unakaa zako hapo unabembeleza weeeh' mpaka tena jioni, ukinyimwa unalia lia mpaka alfajiri tena, maskiiiiini..!!

Mkuu, unatafuta pesa sangapi.??
Nilitaka nimulize hili swali huenda ndo maana ananyimwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ipo hiviii... Nilijuana nae mwaka jana alikua akiishi mbezi Afrikana nikamshawishi , na yeye bila hiyana akanikubalia safi bila tatzo. Mimi ni muajiriwa kampuni fulani mjini mara nyingi saa 10 or 11 alfajiri huwa naenda kazini sasa ikawa anakuja mtaani naweza kumnyandua mara moja and alfajiri simnyandui wala nn coZ nahofia kumwamsha usngizini maybe atamaind.

Kama akija nilikua nanyandua mara moja bas nalala asubuh yeye akiamka anaenda mishemishe zake na mimi mishemishe zangu. Mwez wa 12 tukaelewana nipeleke barua kwao bila hiyana alikubali, nikapeleka bila tatzo. Majibu yalirud safi alhamdulillah nikakubaliwa na mahari ikapangwa kama 1.2M.

mwez wa 5 nilipeleka mahari kwao kama 700k nyingine deni ad leo na nikamuomba tuish kidogo kama maswala ya ndoa tukijipanga tutakamilisha. Sasa kwenye swala la kunyanduana nilizani maybe kwa sababu sjatoa mahari datz why ananifanyia hivyo kumbe na nikitoa atabadilika, kuumbe ni tofaut na matarajio yangu.

Naweza kuwa nna ugum kinomaaaa nikiomba game mara niambiwe tumbo linaniuma, au subiri baadae na nikiambiwa baadae ni baadae kweli i mean hata kukumbushia halumbushii, mda mwingine ntaambiwa subiri chakula kishuke ndo tutaduu hapo utasubir kama lisaa lizima na mwenzio wala hana habar na kama ni usiku kama ni usingizi utakuchukua bila kuduu.

Kingine asubuh na kijiubaridi cha Darisalam Hasani kichwa lazma asmame nikimshirikisha mwenzangu hatak in short skumbuki lini nilipewa asubuh na huyu duu. Ushauri hapo nifanye vipi napata tabu kinomaaaa.... unga huu uzi mkuu msaada
 
Back
Top Bottom