Huu u-selective ntakufa bachela jamani

Huu u-selective ntakufa bachela jamani

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,936
Reaction score
8,350
Pamoja na kwamba umri umeenda lakini bado sijamuona wa kumuoa.

Anayejichubua, simtaki
Asiyetoka bila makeup, simtaki
Anayefuga mikucha kama shetani, simtaki
Single mama, simtaki
Msela msela, simtaki
Asiyejua kupika, simtaki
Mpiga mizinga, simtaki

Nnayemtaka kama FS, yeye hanitaki. Kwa hiyo ninyi mnaouliza uliza ndoa lini mjue changamoto zipo nyingi mtuvumilie😊

Uzi tayari.
 
Nenda kijijini utapata unayemtaka..hawa wadada wa mjini unapoteza muda wako tu.
 
Isifike hatua na wew ukajiona hujitaki.. Tusifikie huko
 
Pamoja na kwamba umri umeenda lakini bado sijamuona wa kumuoa.
Anayejichubua, simtaki
Asiyetoka bila makeup, simtaki
Anayefuga mikucha kama shetani, simtaki
Single mama, simtaki
Msela msela, simtaki
Asiyejua kupika, simtaki
Mpiga mizinga, simtaki
Nnayemtaka kama FS, yeye hanitaki. Kwa hiyo ninyi mnaouliza uliza ndoa lini mjue changamoto zipo nyingi mtuvumilie
Uzi tayari.
Tafuta komwe moja jikaze komaa nalo
 
Back
Top Bottom