Kama hukujua kuhusu hii

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Naomba kurudi tena jukwaani wanajamii forum, msichoke, ugonjwa wangu ni ule ule, mapenzi!!!
Kuna mdada nilimuomba namba yake ya simu akanipatia, kesho yake nampigia, simu inapokelewa na mtu mwingine aliyeko mkoani! Nikaona niachane nae kwa kuwa hakutaka kunipa namba yake sahihi ya simu (nilivyohisi)
Then nikatengeneza urafiki wa kawaida tu na mdada mwingine, tuko nae coz moja!, tulivyozoeana yule binti akawa anaona wivu sana!! Ikafikia mahali nikaamua kuvunja ukimya na kumfuata, alikuwa na hasira kiasi cha kutokunijibu kila nilichomuuliza. Ila baadae alieleweka na kunielezea kuwa alikuwa amekosea kuandika namba yake! Usiku wake nikachat nae sana!! Tokea hapo akawa ni wa kwanza kunitumia sms, kunipigia na kunijulia hali! Maswali ya kichokozi alikuwa nayo kumhusu huyu rafiki yangu, utamsikia akisema "*** ana tabasamu nzuri?? Mbona unakua nae karibu kiasi hicho?"
Siku iliyofuata nikaamua nimtongoze, majibu ninayokutana nayo sasa " tafuta tu mwingine, mie sijaumbwa kuharibu mahusiano ya watu"
Issue imekuwa serious wadau, nikimpotezea ananifuata mwenyewe, nikimfuata, anakataa fika, tena sio kitoto, na mitego nimemfanyia sana, utasikia "hiyo naijua"
Naombeni maelekezo wakuu
 
Bwege mtozeni
 
Mpe kitita cha fedha mkuu
 
Hatua hii huwa tunaiita ...transitioning fom chaputa to real papuch

Kijana anahaha
 
Mwambie sawa hutaki kuharibu mahusiano yangu. Je unanipa uchi au hunipi?.

Usije kuleta tena uzi humu jf. Wanawake wanapenda mwanaume mwenye experience cv iwe imeshiba mahusiano
 
Naomba kurudi tena jukwaani wanajamii forum, msichoke, ugonjwa wangu ni ule ule, mapenzi!!!
Kuna mdada nilimuomba namba yake ya simu akanipatia, kesho yake nampigia, simu inapokelewa na mtu mwingine aliyeko mkoani! Nikaona niachane nae kwa kuwa hakutaka kunipa namba yake sahihi ya simu (nilivyohisi)
Then nikatengeneza urafiki wa kawaida tu na mdada mwingine, tuko nae coz moja!, tulivyozoeana yule binti akawa anaona wivu sana!! Ikafikia mahali nikaamua kuvunja ukimya na kumfuata, alikuwa na hasira kiasi cha kutokunijibu kila nilichomuuliza. Ila baadae alieleweka na kunielezea kuwa alikuwa amekosea kuandika namba yake! Usiku wake nikachat nae sana!! Tokea hapo akawa ni wa kwanza kunitumia sms, kunipigia na kunijulia hali! Maswali ya kichokozi alikuwa nayo kumhusu huyu rafiki yangu, utamsikia akisema "*** ana tabasamu nzuri?? Mbona unakua nae karibu kiasi hicho?"
Siku iliyofuata nikaamua nimtongoze, majibu ninayokutana nayo sasa " tafuta tu mwingine, mie sijaumbwa kuharibu mahusiano ya watu"
Issue imekuwa serious wadau, nikimpotezea ananifuata mwenyewe, nikimfuata, anakataa fika, tena sio kitoto, na mitego nimemfanyia sana, utasikia "hiyo naijua"
Naombeni maelekezo wakuu
Maliza masomo kwanza.
 
mitego nimemfanyia sana, utasikia "hiyo naijua"
Naombeni maelekezo wakuu

Anaijua eeeh......

Wee nae hovyo sana,,, hebu soma shule.. Achana na mademu... Mtunze for future use, akili yako ikikua zaidi
 
Uko kidato cha ngapi?
 
Anaijua eeeh......

Wee nae hovyo sana,,, hebu soma shule.. Achana na mademu... Mtunze for future use, akili yako ikikua zaidi
Kwani umri sahihi wa kuwa na akili za kimapenzi ni miaka mingapi mkuu!??
 
Pole kijana, hujafanya hata UE moja unaanza sumbuka na vitoto vya 2001 ,2002.

Kudate na watoto wa 2000s ni shida sana, mie kuna hako kamoja ukikatongoza kanakataa kabisa LAKINI mara kaulizie wifi, usipokatafuta akija ye akutafute analalama kwann ye pekee ndo ananitafuta, Yan ni vurugu tu
 
Back
Top Bottom