Mpenzi wangu kaniacha ghafla bila kunieleza sababu

Mpenzi wangu kaniacha ghafla bila kunieleza sababu

Nassib nyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
962
Reaction score
471
Ni matumaini yangu nyie ni wazima wa afya, ni juzi tu nimejiingiza katika mahusiano na msichana mmoja hivi yapata miezi miwili lakini oversuddenly juzi tumekutana kanitamkia eti tuachane. Nilimuliza sababu anasema eti kaamua tu.

Jamani nyie wadada kwanini lakini?
 
mkuu kwanza yaonyesha itkuwa huna hela ..pili hujui kupiga show ..yaani hata ujanja wakutumia vumbi LA mkongo hujui
hujamvutia kabisaaa na waweza kuta una kibamia pia..au kama una tango bado hujajua kulitumia..trust me katka dunia ya sasa kama huna hela jitahidi ujue kugegeda ..kinyume nahapo hkuna 7bu itakayomfnya mwanamke aendelee kuuona umuhimu wako ..
hata kama utakuwa na Tania zenye wasifu wa sifa njema kama pope fransic utakimbiwa tu

pole kwa maumivu mkuu
 
"Oversuddenly" = "All of a sudden".

Bidada kaona isiwe tabu.
 
Back
Top Bottom