Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
1. Kusomesha mchumba

2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.

3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.

4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.

5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)

6. Kumwita mke wako mama.

7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)

8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.

9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.

10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.

Bazazi!

1643176173349.png
 
Pata pesa mingi hayo mengine utafanya Tu automatically niligundua kuwa wanaume tusipokuwa na hela tunatafuta sana sababu za kufarijiana na kutiana moyo Mara hakuna kuhonga,Mara Hakuna kufanya sherehe kubwa kwenye harusi n.k ila hela zikikutembelea bhana naona watu wenyewe wanafanya waliyosema hawatafanya
 
Mkitaka msioe kabisa, Kuna watu mnamaliza hewa yetu tu
 
1. Kusomesha mchumba

2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.

3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.

4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.

5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)

6. Kumwita mke wako mama.

7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)

8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.

9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.

10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.

Bazazi!
Hiyo Namba kumi nimeshuhudia kwa macho yangu. Na leo mwanamke kamkimbia mwanaume.
 
Ngoja waoaji waje mi msomaji hapa tu

Ila umeongea point mkuu ni wachache tu watakuelewa wengine watatafuta point 3 muhimu kupitia hapa cha msingi wasiwe wanakimaanisha wakiongeleacho

Akili kumkichwa
 
1. Kusomesha mchumba

2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.

3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.

4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.

5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)

6. Kumwita mke wako mama.

7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)

8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.

9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.

10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.

Bazazi!
Kusikiliza taarabu ni tatizo kubwa sana.
 
Hiyo namba 2 kuna jamaa yangu kaachana na mke wake halali wa ndoa akaenda kupata kimada alipotaka kuuza nyumba alojenga na mke wa ndoa ndugu wa jamaa wakazuia yule jamaa kaenda kuuza magari yake akaenda kujenga kwenye kiwanja cha mchepuko na hadi sasa wanaishi nae huko
1. Kusomesha mchumba

2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.

3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.

4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.

5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)

6. Kumwita mke wako mama.

7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)

8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.

9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.

10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.

Bazazi!
 
1. Kusomesha mchumba

2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.

3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.

4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.

5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)

6. Kumwita mke wako mama.

7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)

8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.

9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.

10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.

Bazazi!
FB_IMG_15720200250443343.jpeg
 
Never love another woman as long as your mom loves you.
 
Back
Top Bottom