Smartphone Tz
Member
- Oct 29, 2020
- 34
- 29
Habarini wakuu i hope mko poa,
Aisee hivi karibu nimekuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi tumejuana facebook tukapeana no tukawa tunachart siku ya 1 ya 2 ya 3 nkamtongoza kakubali
Sasa huyu bidada amekuwa wa moto sana yeye ana kazi na kila kitu ndani bhasi kuanzia hapo kila wakati anataka tuchart nimpigie sim tuongee video call whatsapp
Kwa sasa yupo mbeya kikazi sasa juzi kati nkamgusia suala la game akakubali bila shida yyte yan huyu bidada amekuwa na careness kubwa sana haipiti siku bila kunipigia sim au kunitumia sms
Sasa naomba kuuliza wakuu hivi ndo huwa hivi kweli mwanamke akipenda au ni drama tu huyu ananiletea nafatilia comments
Asanteni