Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha 63, mume anatakiwa kumtunza mke wake kwa kuhakikisha anatafuta kipato na pia anamtunza vizuri nyumbani kwa kuhakikisha mke ameishi mahala...
4 Reactions
12 Replies
963 Views
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa. Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta...
17 Reactions
101 Replies
8K Views
Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe...
9 Reactions
33 Replies
5K Views
Hatuna wivu mkiwa na marafiki wenu wakiume,ila usivuke mipaka Yes,mapenzi yako hayawezi kulinganisha na mapenzi na mama yangu Sometimes tunashindwa kuelewa hisia zenu au sign zenu haimaanishi kua...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material, Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Salaam enyi wana wa Mungu..... Nikiwa mgeni kabisa wa mji flani dar es salaam,sikuwa single actually but nlkuwa na mahusiano na mdada flani ila mahusiano yenyewe ni yale ya kimasihara tu(NTAKUJA...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za MDA huu Wana MMU Nakumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan kwa mwonekano Ni barobaro wa mjini, kwa kukadiria Yuko kwenye 23-29yrs hivi Tuliingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kimahusiano...
26 Reactions
873 Replies
43K Views
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea...
7 Reactions
118 Replies
7K Views
Hi guys, I hope mnaendelea vyema Maneno hayo nilitamkiwa na rafiki yangu wa karibu baada ya kumueleza sababu iliyopelekea mimi kuchukiwa na classmate wangu wakike Mimi ni kijana(27) nasoma...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani...
8 Reactions
157 Replies
13K Views
Leo ni kati ya siku ambayo nimefrahi sana pengine kuliko siku zote Nilihisi japo sijawa na uhakika,nilikua namwambia Mara kwa Mara alikua akibisha tena kwa ugomvi mkubwa tu tena Mara nyingine...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia. Wakati...
49 Reactions
283 Replies
23K Views
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo. Kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano tumepita kwenye nyakati tofauti ngumu na nzuri. Ukweli ni kwamba, mwenzangu kwa bahati mbaya...
0 Reactions
10 Replies
857 Views
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe...
5 Reactions
11 Replies
906 Views
BY MWALIMU HABELNOAH JM LIBRARY MWANZA HADITHI YA KWELI Kijana mmoja wa Kiume Alikuwa akipita nyumba Moja hadi nyingine kulilisha tumbo lake lililokuwa na njaa,mwishoe akaamua kuomba chakula...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mwanamke mmoja kakopa shilingi milioni 4 kikoba, na kuweka rehani nyumba yake ya vyumba viwili, kwa marejesho ya muda wa miezi 5. Kabla ya kupewa fedha hizo, mkopaji aliulizwa mara tatu tatu...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
True story Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu Binafs nmeshawishika kuleta Uzi huu baada ya kupitia Uzi nyingi za wadau zenye majuto kadhaa ya waume wenzangu waliyopata baada ya kuzaa na michepuko yao. Kiukweli kuna michepuko...
19 Reactions
402 Replies
23K Views
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…