Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma Kwa kweli ilibidi nijipe...
9 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari wakuu Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili...
36 Reactions
222 Replies
17K Views
Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu...
19 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code. Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali...
11 Reactions
97 Replies
6K Views
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
1 Reactions
110 Replies
10K Views
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha. Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua...
47 Reactions
166 Replies
13K Views
Wanajamii nina kitu kimoja mnipeni mbinu ya kuumkataa mshikaji wangu ambae naona hana faida kwangu bali ni kupe. Picha linaanza huwa ananishawishi sana kwenye sehemu za bata ili hali yeye hatoi...
12 Reactions
89 Replies
6K Views
Kwema? Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni...
23 Reactions
84 Replies
6K Views
Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe. Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi...
19 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zenu, Leo sina maneno Mengi ila ni kuwajuza tu kuwa Mimi Decor Bysco nikiwa na akili zangu timamu, Ninasimama mbele ya umati huu wa JF nikisema kuwa SITOKAA NIOE. Hii ni kwa sababu...
38 Reactions
206 Replies
16K Views
....Natumaini mu wazima wote.... ....Hapa ninapokaa, kuna nyumba nyingine iko karbu yangu... ....Kila siku saa nne au tano, naskia ngu ngu milio ya kitanda... ...Jamani ni kila siku iendayo kwa...
5 Reactions
182 Replies
26K Views
DOKEZO: Leo nimeamua kushusha uzi huu kutokana na video iliyovuma sana mitandaoni hasa twitter ndani ya siku tatu zilizopita. Video ilikuwa ikionyesha Jamaa akimletea zawadi ya Happybirthday...
10 Reactions
105 Replies
12K Views
Kama Mnakumbuka Kuna Kipindi Niliweka Uzi Wangu Unaonyesha Dalili 10 Za Kumjua Mwanamke Aliyetoka Kufanya Mapenzi Kama Ni Mkeo Hatimaye Leo Nimekuja Na Mbinu Mpya Kabisaa Ambayo Itakusaidia...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
boobs in the world?! Well, according to bra company ThirdLove's breast shape dictionary, women have one of nine different sets of breasts. All boobs (and nipples) are totally normal, but...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale...
8 Reactions
81 Replies
5K Views
Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu...
26 Reactions
199 Replies
17K Views
Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo. Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Sema kweli mapenzi yana raha yake hasa kipindi cha mwanzoni kabisa yanakuwa mahaba niuwe. Kwenye uwanja wa sita kwa sita unaweza kupiga kuanzia goli 5 na kuendelea!, ila inafika kipindi unamchoka...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama una pesa haifai uteseke na mapenzi fanya hivi tafuta MWanamke mdogo mdogo mwembamba mrefu ambaye kaishia elimu ya msingi tu au secondary asiye na kazi Tena wa kutokea kijijini ila hakikisha...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
.... Nyuzi ifutwe .... Moderator
26 Reactions
187 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…