Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimepokea ka sms kamenichekesha. Wizi mtupu! "When awake you're in my thoughts, when asleep you're in my dreams. the only place I never seem to find you is in my arms. Miss you" Kama na wewe...
9 Reactions
129 Replies
27K Views
Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018...
10 Reactions
161 Replies
3K Views
Sijawahi kuona wanawake au mabinti wakifanya hii kazi ya kukata na kupaka ranga wanawake salun Hivi hii kazi nayo ni ngumu ya kiume kama kubeba zege kuwa wanawake hawawezi kufanya, kukatana kucha...
10 Reactions
36 Replies
663 Views
Hivi wapenzi mnaopendana, na mnaishi pamoja ni sahihi kuoneana haya?
1 Reactions
10 Replies
268 Views
Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana -wanaume ni wachache -wanaume...
3 Reactions
27 Replies
604 Views
Nimeoa, ndoa yangu ina miezi 6 lakini mke wangu kaondoka nyumbani na kaniacha anadai talaka ananishutumu kuwa nina mahusiano na Mama yangu. Nyumbani kwetu tumezaliwa watatu na wote ni wakiume...
12 Reactions
183 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! (Ukistaajabu ya Musa utayaona ya silent killer leo.) Sasa baada ya ile post nikapata PM, sio PM ya kawaida naweza iita THE PM...
37 Reactions
1K Replies
120K Views
Huwezi kuvaa nguo fulani sababu hawatakuelewa. Huwezi kuishi mtaa fulani watakuona maskini sana au tajiri sana. Huwezi kula pale kwasababu siyo hadhi yako. Huwezi kuoa au kuolewa na mtu...
16 Reactions
39 Replies
633 Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 43. Ni mfanyabiashara na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam. Mwaka 2011 nikiwa na umri wa miaka 36 nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na...
36 Reactions
561 Replies
94K Views
Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
1 Reactions
11 Replies
238 Views
Sijajua kwako wewe mtu wa karibu sana ni nani, lakini wapo ndugu, mke, mama, baba, kaka, dada wametuzunguka. Kwanini nasema Kijana ni lazima kuowa ? kwasababu binadamu tunategemeana.. Kabla ya...
2 Reactions
7 Replies
514 Views
Kuna mke wa jiran ananitaka,ila mm simtak sijui nifanyaje maana anasema eti anipend na hawez kuish bila mm.Na mimi sitak kuzin na mke watu
2 Reactions
8 Replies
207 Views
Kuna umri utafika utakua peke yako au na houseboy wako au housegirl wako. Muombe Mungu umri huo ukukute na mke au mume. Umri ambao utakua unapokea simu za kuambiwa mzee fulani kafariki,umri wa...
9 Reactions
17 Replies
367 Views
Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex Kisa changu mimi πŸ‘‡πŸ‘‡ Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu...
13 Reactions
187 Replies
8K Views
Mambo vipi jamani! Mimi ni binti miaka 24, natafuta mume awe mcha Mungu. Simu namba 0788894641
23 Reactions
148 Replies
13K Views
Yes baadhi mnamjua mwanamke mmpja motivation speaker wa maswala ya ndoa anajiita mchungaji Rose Shaboka alikuwa anawafunda sana mabinti kuwa wakiwa na wanaume wao ndani ni mwendo wa kuvaa bikini...
20 Reactions
104 Replies
3K Views
Week end njema .πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
4 Reactions
12 Replies
376 Views
Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke ...
5 Reactions
9 Replies
293 Views
Mademu ni dhaifu sana kwa wanaume weupe ila wanachokutana nacho huko kusalitiwa mara kwa mara licha ya juudi wanazofanya ndo wanavungaga wanawapenda wanaume weusi jambo ambalo so kweli Yani...
2 Reactions
22 Replies
507 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…