Kipindi nilikuwa naishi Tanzania, kabla sijatimkia huku Tunisia, nilipata bahati ya kuwa na mapenzi ya mbali
Mimi nilikuwa naishi Dar nikampata mwanamke anaishi Moro. Lile penzi kwa kweli...
Pesa yako unapeleka wapi ilihali hujawahi daiwa Kodi ya nyumba, bank biashara kakufungulia mme, mume ana madeni bank, mengine alikopa kuendesha misheni zake akajikita kumwekeza pia kwako...
EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌
Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza...
Please, wanajamii forums, mwenye anafahamu dawa ya mwanamke kukojoa kitandani amsaidie jamaa yangu! Yaani anaweza akaacha mwezi mzima hajakojoa, then anakuja kushtukia anakojoa tena kitandani...
Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja
Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri
Chakula 500,000/
Mavazi 500,000/
Usafiri wa kuoa 500,000/
Tent 100,000/
Madufu...
Wakuu Mnaendeleaje
Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini
Kwa wenye utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Hapa nataka tuelimishane kidogo jinsi ilivyo vigumu kuzuia USALITI kwa nguvu za kibinadam. Hili ni suala ambalo hakuna kanuni inayokubali kuuzuia kwa ukamilifu wa 100% kwani binaadamu ni kiumbe...
Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George.
Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
Kabla hujakata tamaa kwa sababu umehisi umetengwa, umeachwa, au watu uliowaamini wamekupa mgongo, mkumbuke Pluto.
Pluto aliwahi kuitwa sayari ya tisa kwenye mfumo wa Jua. Miaka mingi alikaa...
Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kizinga kingine.
Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja...
Kuna wakati nilifikiri suala la kuposa, kuoa ni jambo jepesi, ila kwa figisu zile za mashemeji sijaamini macho yangu…kuna level ilifikia nilitaka kuwaachia dada yao ila kuna wazee waliniita...
Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka...
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee
Yaani hawa wanawake ni hatari aisee
Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi...
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja...
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta...
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?
MWENYEZI MUNGU...
Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.