Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Mungu ni mwema bwana,juzi baada ya kuleta stori kuwa nimekuwa hanithi kutokana na upigaji wa punyeto basi bwana nikaenda kwa mganga mmoja ambaye anasifika kwa kutibu shida hiyo, alinipa mizizi...
3 Reactions
13 Replies
407 Views
WANAUME TUKUMBUSHANE NGONO(SEX) ni Nzuri sana Ila inakuzwa ndivyo Sivyo. Wanawake wanaikadiria juu sana,nguvu ya ngono (sex). Wanaitengenezea mazingira ya kua kama mradi mkubwa sana. Kutokana...
4 Reactions
4 Replies
930 Views
HABARI KAKA NILIBAHATIKA KUMUOA MKE WANGU TUKAISHI MAISHA MAZURI TU HATA HIVYO ALIPOPATA KAZI AKAANZA KULETA DHARAU UKIMUULIZA ANAJIBU OVYO UNYUMBA ANAKUPA KWA WAKATII ANAOTAKA IKAFIKA WAKATI...
2 Reactions
4 Replies
200 Views
Niaje wakuu Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza. Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono. Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
21 Reactions
283 Replies
10K Views
Bandugu kwema. Aisee! Kuna wanawake wakatili, yani mnafanya yote unamuandaa hadi unamvua halafu anakunyima! Anasingizia mara leo sipo vizuri, mara unayo kubwa sijajiandaa! Inasikitisha sana!
25 Reactions
224 Replies
9K Views
Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake. Hata baba hakujenga...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Tushushe hapa ngoma kali za minyanduano. Kuna zile ngoma ukiwa unazipiga wakati huo zinaongeza sana mzuka/radha ya minyanduo. Please hii haiwahusu wale wanaomaliza ndani ya dakika moja, angalau...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira...
3 Reactions
10 Replies
337 Views
  • Redirect
Unapenda sehemu imefyekwa nyasi zote, unapenda sehemu hiyo iwe na viotea vifupi vifupi ama unataka mzinga wa nyuki? Kwa upande wangu napenda iwe peupe pee ili nikikita itutane nyama kwa nyama...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi kweli mwanaume timamu ,mwenye heshim zake unaweza date singo matha
2 Reactions
1 Replies
130 Views
Kuna binti wa miaka 20 nimekutana nae kingono mara tatu kwa nyakati tofauti, na mara zote nilizokutana nae nimepata mchumbuko kwenye uume wangu upande wa kulia kwa juu Wakati nasukuma nje ndani...
16 Reactions
84 Replies
2K Views
Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu...
9 Reactions
63 Replies
886 Views
Mimi nlkuwa napendekeza kuwa, tusiache asil yetu ya kitanzania, kukimbinzana na mambo ya wazungu maana kizazi chetu kitapotea. Na tusipoziba ufa mapema msing wa watoto wetu utaporomoka...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani, yaani unamkuta mkeo kitandani kwako tena 'kainamishwa' jambo ambalo wewe hukuwahi kulifanya, unapiga magoti unaanza kukemea mapepo eti ndiyo yamemsababishia...
6 Reactions
12 Replies
492 Views
Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke Yaani mwanamke...
2 Reactions
14 Replies
295 Views
Wapendwa Marafiki, Wajukuu na wote wenye mapenzi mema, salaam Ilikuwa weekend mbaya sana kwa ODM, Baada ya kushtushwa na msiba wa watanzania wenzetu kwenye ajali ya meli haukupita muda nikapigiwa...
53 Reactions
346 Replies
28K Views
Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye...
16 Reactions
69 Replies
2K Views
Kuna siku nilikaa nikamtazama mwanangu kwa makini sana. Sio tu sura. Sio tu macho. Sio tu tabasamu. Tabia. Misimamo. Namna anavyoongea. Namna anavyojibu watu. Hata namna anavyokasirika...
6 Reactions
16 Replies
509 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…