Wakuu, kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga au kutongozana. Nina rafiki yangu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani...
Wasalaam,
Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3
Lakini kudeka...
Sex ni kwa Wazungu, Weusi Tunalazimishana tu
Chunguza sana hii. Ukiomba game kwa mpenzi wako mdada au mkeo mweusi ndio mwanzo wa sarakasi na visingizio visivo na kichwa wala miguu.
Unakuta (1)...
Unapokwenda kukutana na pisi kali yenye 'standard' ya kimataifa kwa mara ya kwanza; fanya yafuatayo:-
Hakikisha ngozi ya mwili imetakata, kutokana na kula vizuri
Hakikisha hauna kitambi au kisiwe...
Wakati flani, miaka kadhaa nyuma nilikutana na binti mrembo, mdogo na mzuri haswa, alikua anatokea kabila flani la watu wa kaskazini wale ambao wapo kama wazungu hivi. Alikua ana utulivu wa akili...
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.
Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza...
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao.
Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka...
Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo
Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika.
Nikitongoza kwa njia...
Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo.....
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili...
Habari wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kumekuwa na katabia asa kwa vijana wa kiume kushinda jim na kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia kina mama, katabia aka...
Jamani mimi hata sielewi!
Ni kwamba hili ni tatizo au? na kama ni tatizo, nitalitatua vipi mimi nikipapaswa kidogo tu au nikiguswa hapa na pale na mwanaume, tayari nguvu zinaniishia, nakuwa...
Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank...
Wakuu hapa niko hospital
Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni...
Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie...
Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla.
Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa...
Wakuu mwili wako na nafsi yako inafurahia Zaid muda gani ukiwa macho mchana unafanya maisha na mishemishe zako au Bora usiku tunapoenda kulala ndio unahisi viungo vinajinyoosha vizuri.binafsi Mimi...
Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo...